Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

happyxxx

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
604
1,940


Nyumba ya 5 bedrooms

Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store

Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk.
Inaweza gharimu kiasi gani?
 
Vyoo vya million mbili, chandeliers za 1.5mil ac kila chumba
Bathtub atleast vyumba vitatu
Standby generator au alternative solar power system.
Upvc windows
Wooden french doors
Tiles za minimum 50k per sqm

Bafu moja tuu unacheza betwenn 5-7mil. Wee hapo una mabafu manne
Thanks, I get it now the budget can really go that high. Lakini kwa sasa nataka tu estimate za kawaida quality nzuri ila sio hayo masinki ya mil 5.
 
1. Single iwe pia na choo na bafu linaloweza kutumiwa na public.
2. Umesahau store na garage

Amandla...
Personally garage ningeweka separate (siunganishi na nyumba) kwa sababu tatu
  1. Kupunguza emissions ndani ya nyumba
  2. Incase kuna moto gari linaweza kuwa moja ya vichocheo
  3. Nyumba ikishika moto (siombei) napoteza properties mbili at a time
 
Back
Top Bottom