Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,856
- 11,219
Kichwa cha habari chajieleza.
Tafiti zangu za muda mrefu zimeonyesha kuwa uaminifu kwa sasa ni kitu adimu sana kwa wana ndoa.
Hivyo basi mm Malafyale muda wa kuoa umefika,natafuta mwananke aliye tayari kuolewa na mm awe na watoto angalau wa 5 au zaidi,na haijalishi hao watoto kazaa na wanaume wangapi.Awe tayari kunipa mm pia angalau watoto wawili ktk uzao wetu.
Nimeweka masharti ya watoto wengi nikiamini kuwa huyu mwanamke atakua kaisha maliza tamaa za ku cheat na atabaki na mm tu.
Kama upo interested au kama unamjua dada yyt mwenye sifa hizo, tafadhali niandikie hapa ktk inbox yangu
Malafyale Ogwa Ndima
Ipinda-Kyela vijijini