Introvert Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 4,418
- 7,345
Wakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
Kama mtu yuko serious huwezi kumjibu alichouliza. Hata kama sio yeye utamsaidia mwingine. Tukipunguza mizaha tutapiga hatua fulani. Ni maoni yangu tu.Vipo kibao tu..whynote,tnt,kumalija,samaki samaki,kitambaa cheupe n.k humo kuna pisi za kwenda,shisha,vibango na show za wasanii mbali kila weekend. Mil 4 kwa weekend 2 inatosha sana
Mpiji kibaha, vipo barabaran kama utapahitaji njoo inbox tuwasilianeWakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
Ili mradi uwe na tahadhari ya matapeli wa ardhi waliokubuhuWakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
Mkuu kwa hiyo huko ni Dar?Mpiji kibaha, vipo barabaran kama utapahitaji njoo inbox tuwasiliane
Unataka kumfaidisha mwenye kiwanjaWakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
Ni Dar iliyoongezwaMkuu kwa hiyo huko ni Dar?
Duh hatari.Ili mradi uwe na tahadhari ya matapeli wa ardhi waliokubuhu
Muelekeo gani hili eneo?Ni Dar iliyoongezwa
Huko napo ni dar?Mpiji kibaha, vipo barabaran kama utapahitaji njoo inbox tuwasiliane
Baadhi ya maeneo ya msumi...mbopo....mpigi magohe unaweza bahatishaWakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.