Natafuta Kijana aliyesomea mambo ya Management, Dar es salaam

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,553
52,226
Kwema Wakuu!

Leo sina mengi ya kusema.
Ninatafuta kijana awe wa kike au Wakiume aliyesomea mambo ya Management Kwa ngazi ya Shahada.

1. Awe na uzoefu walau Mwaka mmoja.
2. Elimu kuanzia Shahada moja.
3. Ajue kuongoza na kusimamia Watu.
4. Awe Dar es salaam

Mahali; Dar es salaam
Mshahara: Tutaanzia na Tsh 550,000/=

Mwisho wa Kutuma maombi ni Tarehe 25/07/2023
Usipige simu

Tuma Maombi yako, Vyeti, CV, vitambulisho, Kwa WhatsApp number 0693322300
Au
robertheriel05@gmail.com

Hii ni Kwa wanaohitaji tuu.
 
Hya subiri ujionee ma graduate wetu wa management ndo uneenda kukutana na vijana miaka 23 ni graduate anavaa mlegezo kasuka nywele degree kweli anayo ila atamanaji nani wakati yeye ameshindwa kujimaneji? Pamoja na degree maadili maadili vijana hawana.
 
Ngoja tuone.
Naamini haiwezekani akakosekana hata mmoja
 
Hya subiri ujionee ma graduate wetu wa management ndo uneenda kukutana na vijana miaka 23 ni graduate anavaa mlegezo kasuka nywele degree kweli anayo ila atamanaji nani wakati yeye ameshindwa kujimaneji? Pamoja na degree maadili maadili vijana hawana.
Sasa wewe yanakuhusu nini Acha kusema vibaya watoto wa watu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kama lengo lako ni kufanya utafiti, basi majibu utayaona mapema sana. Maana kwa hali ilivyo mtaani, aisee maombi yatakuwa ni mengi sana.

Wapo waombaji wataahidi hata chochote kitu, ili tu wapate hiyo kazi. Ila kama ni kweli nia ya kuajiri ipo, basi namtakia heri huyo atakaye fanikiwa kuwashinda wenzake.
 
Hapana Mkuu. Sifanyi utafiti.
Najua wapo Vijana wakike na Wakiume waaminifu.
 
Hya subiri ujionee ma graduate wetu wa management ndo uneenda kukutana na vijana miaka 23 ni graduate anavaa mlegezo kasuka nywele degree kweli anayo ila atamanaji nani wakati yeye ameshindwa kujimaneji? Pamoja na degree maadili maadili vijana hawana.
Sasa mkuu ulitaka aweje?
 
Tangazo fake, acha kusumbua vijana wa watu kama hauna Nia kusaidia..watume maombi wapi hakuna jina la taasisi/kampuni, address ya hayo maombi yanapoenda au wanatuma kienyeji,unatafuta meneja wa bar??..Kwa nini usitafute mtaani kwenu kienyeji tu,kulko kusumbua watu
Ahahahah watu mmpo makinin
 
Hii ni Kwa wanaohitaji. Wewe usiyetaka kusumbuliwa tulia.

Sio ajabu hiyo 550,000/= huipati Kwa mwezi.
Mbuzi wee
 
Hya subiri ujionee ma graduate wetu wa management ndo uneenda kukutana na vijana miaka 23 ni graduate anavaa mlegezo kasuka nywele degree kweli anayo ila atamanaji nani wakati yeye ameshindwa kujimaneji? Pamoja na degree maadili maadili vijana hawana.
Vipi kuhusu Tattoo?
 
Aisee ukimpata ulete feedback Mkuu. Ni motivation nzuri kwa wale wasioamini kwamba JF unaweza kusaidia kupata kazi vizuri tu na watu waaminifu wapo humu
 
Nyie ndio mnaotumia fursa hiyo ili kutupiga na kitu kizito kichwani!! Ila haina noma kila la heri mkuu
 
Alafu alete mlejesho, Kama Yule aliyepiga picha kuonyesha walioomba nafasi za ukonda wa Basi Arusha kwenye kampuni ya yeye anayofanyakazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom