DJPEREZ SHOW

Member
Jun 18, 2019
23
19
Samahani mimi ni operator wa wheel loader na excavator , nimeangaika sana na excavator nkakosa connection nkaamua niingie kwenye loader nmepata ujuzi na npo vzuli kwajili ya kazi ila excavator bado jaman anaeweza naomba msaada nipate mtu wa kushinda nae kwenye excavator npate ujuz wa kazi au npate kazi ya loader ikishindikana baci jamani naombeni kazi ya ulinzi kwenye maeneo ya site mana nlipita mgambo na nna uzoefu kabisa

Elimu yangu ni
Kidato cha nne

Nmeambatanisha cheti cha excavator nikiwa shinyanga
Balua ya utambulisho mgambo
Leseni
Cheti cha fom four
Cheti cha St.gasper driving school(heavy duty operating)

Namba zangu za simu
0693611461

NIPO MTWARA KWA SASA
 

Attachments

  • 20240204_091312.jpg
    20240204_091312.jpg
    1.1 MB · Views: 35
  • 20240314_173017.jpg
    20240314_173017.jpg
    1.9 MB · Views: 30
  • 2023-05-25 16_02_40.pdf
    5.8 MB · Views: 15
  • 2023-05-25 15_57_12.pdf
    5.5 MB · Views: 11
  • IMG_20220108_050005_833.jpg
    IMG_20220108_050005_833.jpg
    815.2 KB · Views: 29
Nakushauri tembelea sites au camp za kampuni zilizoshika tenda za ujenzi wa barabara, hauwezi kosa kazi.

Kuna baadhi ya kampuni huwa wanatafuta sana ma OP.
 
Nenda kwenye yard wanazo hifadhi makaa ya mawe Jitegemee Holding,Becco,Ruvuma Coal Mine hapo Mtwara maeneo karibu na Bandari na Mikindani.

Ukiwa na Nauli nenda Mbinga kwenye migodi ya makaa ya Mawe
 
Sawa mkuu auna mtu unaejuana nae kule
Hapana, kama unataka kuingia Jitegemee tafuta kadi ya chama kisha muombe mwenyekiti wa vijana hapo ulipo awe mdhamini wako. Au viongozi wa chama hapo wakusaidie, vijana wenzako hapo Mtwara waliingia kwa gia hiyo na wapo mpaka sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom