Natafuta kazi, kibarua au ajira

sangaone98

Member
Apr 16, 2024
76
96
Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo wowote halali naomba anisaidie naamini kwenye uwezo wenu wana JF.

Kwa sasa niko iringa ila naweza kuja popote itakapo patikana kazi, Sababu mimi sio mvivu pia ninauwezo wa kuendana na mazingira pamoja na uwezo wa kufanya kazi za nguvu ni mwepesi wa kujifunza na kuelewa kitu kwa maelezo machache au kwa siku chache nikaifanya kwa ubora. Mwisho Hela au kitu cha mtu havina kazi kwangu (unaweza kuniamini) tama yangu ni kupata vyakwangu.

Elimu; Certificate of planning
SIM; 0778781886, 0627042895
 
Tafuta nauli ya kwenda na kurudi mji wa Jirani hapo Mafinga, Kajaribu kuzunguka kutafuta kazi, kuna Ishu nyingi sana pale Kazi za Magogo porini, kusomba mbao, kupanga mbao, Kuna viwanda vingi pia, kazi ujenzi[Usaidizi], Mashambani.

Sidhani kama nauli ya kwenda na kurudi inazidi 8,000/= unajihimu asubuhi sana ili upate muda mwingi wa kuzunguka, ukikosa mishe bhasi unarudi zako jioni.

Tembea na bag yako kabisa ukifanikisha haurudi tena Iringa.
 
Tafuta nauli ya kwenda na kurudi mji wa Jirani hapo Mafinga, Kajaribu kuzunguka kutafuta kazi, kuna Ishu nyingi sana pale Kazi za Magogo porini, kusomba mbao, kupanga mbao, Kuna viwanda vingi pia, kazi ujenzi[Usaidizi], Mashambani......


Sidhani kama nauli ya kwenda na kurudi inazidi 8,000/= unajihimu asubuhi sana ili upate muda mwingi wa kuzunguka, ukikosa mishe bhasi unarudi zako jioni....


Tembea na bag yako kabisa ukifanikisha haurudi tena Iringa....
Ahsante zoezi linaanza mapema iwezekanavyo.
 
Heshima yenu wana JF popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26,
Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo wowote halali naomba anisaidie naamini kwenye uwezo wenu wana JF.

Kwa sasa niko iringa ila naweza kuja popote itakapo patikana kazi, Sababu mimi sio mvivu pia ninauwezo wa kuendana na mazingira pamoja na uwezo wa kufanya kazi za nguvu ni mwepesi wa kujifunza na kuelewa kitu kwa maelezo machache au kwa siku chache nikaifanya kwa ubora. mwisho Hela au kitu cha mtu havina kazi kwangu( unaweza kuniamini) tama yangu ni kupata vyakwangu.

Elimu; Certificate of planning
SIM; 0778781886, 0627042895
Dah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom