Natafuta kazi hali ni mbaya

Natafuta kazi yeyote iliopo ndani ya jiji la Dar es salaam naombeni msaada wa kazi hali ni mbaya
Ndani ya jiji la DSM kunaviwanda vingi tu, damka asubuhi wahi nje ya geti ya kiwanda moja wapo utakutana na vijana wenzako, usiogope hao vijana ni vibarua, wanachukuliwa kwa njia ya kuteuliwa kwa ajili ya kazi mbalimbali ndani ya kiwanda hakika utapata wahi kesho mapema.
 
Interest Africa?

Naona wewe ndio lofa ,, mtu anasema ana hali mbaya afu wewe unazungumzia masuala ya interest?
Kama kusingekuwa na interest, idadi ya vijana wanaokimbilia mijini hususani DSM ingepungua, wengi wangekuja kijijin kwenu kulima nyama. Watu wana hali mbaya ila bado wana preferences. acha ulofa
 
Kama kusingekuwa na interest, idadi ya vijana wanaokimbilia mijini hususani DSM ingepungua, wengi wangekuja kijijin kwenu kulima nyama. Watu wana hali mbaya ila bado wana preferences. acha ulofa
Ukiona bado una interest na preferences, ujue hapo bado hali haijawa mbaya.

Ukikaa na njaa siku 3+ utaelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom