mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,771
- 3,712
Mkuu mama Kifusi mama ndumbi waliniweka mjini... Pale unaweza kwenda na shuka unapiga unalala kwenye bench...Asante mkuu..
Napapata pale... Ukitoka geti la Bibo unakunja kushoto kama unapita Shatopori.
Daah nimekumbuka kwa mama Kifusi kule mbele 1200 tu msosi huoo utaukimbia.