Natafuta Calculator fx991 ms!!

Asante mkuu..
Napapata pale... Ukitoka geti la Bibo unakunja kushoto kama unapita Shatopori.

Daah nimekumbuka kwa mama Kifusi kule mbele 1200 tu msosi huoo utaukimbia.
Mkuu mama Kifusi mama ndumbi waliniweka mjini... Pale unaweza kwenda na shuka unapiga unalala kwenye bench...
 
Mara situkani Mara unatukana. VP Mkuu wanakuuzi wapotezee ..


Ambao siwatukani sasa hivi ni wanawake tuu...
Kwa masela utaratibu uko pale pale.
Ukinichokonoa nakuwashia moto huo!!

Nikianza kutukana natukana kweli kweli.
 
Back
Top Bottom