Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

hapa wamekata deepsea natumia radio via nokia tochi na betri kama tatu hivi nasikiliza werema anavyojiuma aende zake
 
Umeme umekatwa nchi nzima hii ni njama ya wazi kabisa kuweza kuwanyima haki ya kupata taarifa zinazo husu nchi Yao hii ni aibu, kikundi cha mafisadi wachache wanaendesha nchi yetu wanavyo taki, Watz tuamke!
 
Hata tabata-barakuda wamekata ila huez amin watu wanasikiliza redio kwa simu zao na boda boda.....i believe hamna bunge lililosikilizwa na watz weng kama hili la escrow
 
Back
Top Bottom