Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

tanesco washafanya yao hapa iringa,,,

yote haya yanafanywa ili tusifuatilie bunge,,,,aisee huu ni usen..........
 
Ni wezi, wanawalinda wezi wenzao wa bungeni.

Wale mliosikiliza report na mijadala mbalimbali ya Richmond mtakuwa mnakumbuka kamchezo ka kukata umeme.

Hii nchi imejaa majizi tupu kuanzia tanesco mpaka ikuru.
 
Hata hapa Iringa wamekata umeme! Hii ni dalili kwamba hali ni mbaya ktk swala la Escrow account!
 
Waliangalia movie ya shibuda walivyoona anawaponda wakaona isiwe shida ngoja wakate umeme tu.
 
Back
Top Bottom