ndio ilikuwa kipindi chake hichoWaanze na Mkapa kwanza.
Ndiyo hivyo mkuundio ilikuwa kipindi chake hicho
Basi na yeye anyongwe tundio ilikuwa kipindi chake hicho
Haupo serious anyongwe
Kuwa serious ni kufanyaje hapo sasa, uamuzi upi labda tuchukuwe,Kwani vipi, tumzawadie au?
Labda alitaka tumpongeze ndio tutakuwa seriousKuwa serious ni kufanyaje hapo sasa, uamuzi upi labda tuchukuwe,
Tupe majina basiView attachment 522359
Kumbe toka 2004 tulikuwa tuna haki ya kimkataba ya kuachana na hili jinamizi, lakini mtu anapendekeza kutuhonga punguzo la Capacity Charges toka billioni 5.2 mpaka billioni 2.6 ili tusiitumie ile haki yetu ya kimkataba ya kuachana nao, kwakuwa mpaka leo hawa IPTL wapo, inamaana huyo alieombwa alikubali kwa maslahi yake binafsi badala ya kuangalia utaifa. Sasa huyo alieomba na huyo alieombwa, wanyongwe wote kwa presidential decree.

Mbona mmoja kaandikwa kwenye hiyo document, ndio huyo Daniel Yona anaetajwa hata na JPM kwenye madiniTupe majina basi
Yule jamaa ni amazing flan hv,nahisi anaweza kuwa ni mmoja wa moderator wa jf kaja kivingine,ikawa kila uzi kabla kuuachia anaanza kucomment mwenyeweHongera! Hadi sasa umeshika nafasi ya kwanza kwa kua ni mtu wa kupost ile post ya kwanza kila uzi.
Safi sana. Umecomment nini hilo unajua wewe chamsingi unekua wa kwanza tu!