Napendekeza mtu huyu akamatwe na kunyongwa kwa kosa hili

[QUOTE="Joseverest, post: 21561690, member: 1 watimuliwe kabisa hapa nchini na kampuni yao kabisa...
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe ,wewe ni roll model wangu the fastest comenter ever ubarikiwe sana mkuu[/QUOTE]
Good luck mkuu...pamoja
 
Shukuruni sijawa Rais wenu wa JMT ila najua ipo siku nami nitaiongoza hii nchi na ndipo hapo nadhani mtagundua kuwa Rais wa sasa wa JMT Dkt. Magufuli ni mpole na ana roho ya huruma ila Mimi ndiyo mtaijua vizuri maana na neno roho mbaya au ukatili.

Haiwezekani kabisa Watu wameiibia hii nchi kwa miaka nenda rudi halafu bado wapo wapo tu tena wengine wakizidi tu ama wao wenyewe au Ndugu ( wanafamilia ) wao kututambia na kutudharau humu mitaani 24/7 kwa Pesa za jasho letu wenyewe.

Hakyanani Mimi GENTAMYCINE laiti ndiyo ningekuwa Rais wa JMT baada tu ya kusikiliza yale yote yaliyowekwa hadharani na ile Tume ya Kizalendo na iliyotukuka kabisa ya akina Professor Mzee Osoro basi nina uhakika sehemu nyingi sana leo nchini Tanzania ama mngekuwa mnaomboleza au wengine hata muda huu mnakwenda Kuzika.

Pale pale Ukumbini ningeamuru mara moja na tena bila kuchelewa kuwa wale wote waliohusika na kutajwa katika ile Kamati wawekwe hadharani kabisa tv stations zote zifanye live coverage ili Watanzania washuhudie jinsi Rais GENTAMYCINE ninavyoamuru Kunyongwa hadharani kwa hao Watajwa wote ili iwe fundisho kwa wengineo wote.

Rais Dkt. Magufuli kiukweli umeniangusha sana jana na nilitaka utoe amri ya Kunyongwa kwa hao wote.

Subirini niwe Rais wenu Mafisadi na Wabadhirifu wote TZ mtanitambua.
 
UPDATE: (19/06/2017)
Baada ya kutoa malalamiko haya dhidi ya VIP engineering na IPTL, TAKUKURU wameanza kuchukua hatua.Nazidi kutilia mkazo wanyongwe kwa presidential decree

downloadfile.jpg


TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi
 
Halafu tunawasifia Pamka na Tekweki kwa "maisha bora kwa kila mtamzania", na "uwazi na ukweli".

Hawa jamaa wamelifilisi taifa, wao ndio walikuwa wasimamizi wakubwa wa rasilimali za nchi, waliwaruhusu watu wao(kina Mramba, Yona etc) kufanya madudu na kuliibia taifa.
 
Back
Top Bottom