Napendekeza dunia iwe na nchi moja tu ya ‘United states of Earth’ (USE). Raia wa kigeni ni yule wa kutoka sayari nyingine tu

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,344
41,232
Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia.

Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
 
Yani mmeungana na visiwa vyenye watu laki na nusu ila migogoro haiishi. Then mnataka kuwaongeza na wasomalia.

Kuweni serious 😅
 
Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia.

Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
Nimecheka🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom