Napenda kuwafundisha somo moja vijana kuhusu Network na connection.

Dec 11, 2024
94
233
Vijana wengi wanachomini kuwa hauwezi kufanikiwa pasipo Connection .

Ila ukweli ni kwamba kuwa hauwezi kufanikiwa Pasipo network.

Nini maana ya Connection - Kuungana wewe na mtu Fulani .

Mfano mwaka fulani pale UDSM nilikuwa na ndugu yangu (RIP) alikuwa ni lecturer huyu jamaa alikuwa anasafiri Sana kwenda ulaya karibu kila mwezi .


Hivyo familia na ukoo mzima yule jamaa ndo alikuwa tegemezi letu anagununulia bia na nyama n.k

Ila sisi hatukuwaza kumtumia Kwa faida ili tupate network .


Mfano kupitia zile connection za yeye kukutana na Mabeberu wa dunia nzima tungeweza kukaa nae vizuri na kumuomba amchukue hata Kijana mmoja aishi nae ,kumsomesha na kumtafutia Exposer huko ulaya Ila hatukufikiria .



Baada ya yule ndugu yetu kufariki mwaka 2011 ilibaki story tu ila hatukupata faida yoyote kupitia sisi kujuana nae . (SAD)


So unapojuana na mtu mmoja ambaye ni potential kupitia huyo mtu mmoja ataweza kukuunganisha na watu wengine penda Sana kutafuta taarifa Kwa kina ili kujenga network.


Itaendelea.
 
Back
Top Bottom