Nape tengua kamati yako Mkuu kasema hapangiwi

Nani alipiga simu redio Mawingu mda wa kazi na kutuzuia watanganyika tuaiangalie bunge live.

Hivi ,nani alipiga sim clouds na kusema anapenda SHILAWADU? h
 
Ila bashite akumbuke magu hatakaa madarakani milele.... Na yeye bado umri unadai.
 
Serikali ya Nape mbona haikustushwa pale polisi walipokwenda kwenye ofisi za JamiiForums na kutwaa computer kimabavu huku wakiwa na silaha?
Nape na Mengi ni wanafiki tu
 
Kwani ni kamati ya kumpangia rais au kamati ya kuchunguza upuuzi uliofanywa na Bashite?
Alafu wakisha chunguza watachukua hatua gani wakati mwenye uwezo kashaasema asipangiwe chakufanya.

Nape aonyeshe kwanza bunge live alafu tumwamini.

Otherwise minaona kama ni matukio ya kupangwatu, ilituondolewe kwenye mijadala ya msingi kama elimu katiba vitambulisho vya uraiya nakadhalika.
 
Aendelee kuwa kuwadi wa wauza pipi siku zake zaja. Uwaziri umemlevya kijana mteja
Nawaona wajinga tu nyie vijana bt mnaliliangamiza taifa lenu kwa mikono yenu wenyewe na ujinga wenu wenyewe.
 
Serikali ya Nape mbona haikustushwa pale polisi walipokwenda kwenye ofisi za JamiiForums na kutwaa computer kimabavu huku wakiwa na silaha?
Nape na Mengi ni wanafiki tu
Ni kawaida mjinga kujiona anaakili kama wewe na kundi lako.
 
tulikosa rais wa nguvu lowasa, kumbe wengine hata hawakupigiwa kura walijipa wenyewe
 
Ha hahahahaha,ameshitka Nape mwenye majeshi anaona kawaida
 
Serikali ya kolomije na JMT
 
Sio analipata alikuwa akilijua fika
 
Napenda pia mtambue, simu yangu nilinunua mwenyewe, humu Jf nilijiunga mwenyewe..sikuwa na sheria yoyote ile wakati nafanya mambo yangu hayo..

Nisingependa mtu aniendeshe!
Maonyo walishatolewa kwa waliokuwa wanamjua ila ushabiki wa waTZ umewaponza sasa wanatamani leo iwe 2015! tushachelewa
 
Mwegulu,Makumba,Kasimu wamenawa mikono,Nape pekee anathubutu kupaza sauti,Ila nae atashindwa ataona bora awe mbunge tuu.Sijui 2020 kampeni za Ccm nani atapiga
 
kwa akili za huyu jamaa nadhani anaona heri awe yeye tu kusiwe na waziri wala kiongozi yeyote mwandamizi wa serikali. disgraceful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…