Nape tengua kamati yako Mkuu kasema hapangiwi

Nani alipiga simu redio Mawingu mda wa kazi na kutuzuia watanganyika tuaiangalie bunge live.

Hivi ,nani alipiga sim clouds na kusema anapenda SHILAWADU? h
 
Ila bashite akumbuke magu hatakaa madarakani milele.... Na yeye bado umri unadai.
 
Tupo gizani sana.We jiulize,Waziri nape nimemwona kwenye taarifa ya habari anasema serekali imestushwa na kitendo cha mkuu wa mkoa dar kuvamia ofisi za clouds media.
Wakati huo huo Rais magufuli anapuuza uvamizi huo.Hivi,Ni serekali gani Nape aliongelea?Ina maana kuna serekali ya wizara ya habari na serekali ya ikulu?Rais ina maana anapuuza serekali yake?Tupo gizani!
Serikali ya Nape mbona haikustushwa pale polisi walipokwenda kwenye ofisi za JamiiForums na kutwaa computer kimabavu huku wakiwa na silaha?
Nape na Mengi ni wanafiki tu
 
Kwani ni kamati ya kumpangia rais au kamati ya kuchunguza upuuzi uliofanywa na Bashite?
Alafu wakisha chunguza watachukua hatua gani wakati mwenye uwezo kashaasema asipangiwe chakufanya.

Nape aonyeshe kwanza bunge live alafu tumwamini.

Otherwise minaona kama ni matukio ya kupangwatu, ilituondolewe kwenye mijadala ya msingi kama elimu katiba vitambulisho vya uraiya nakadhalika.
 
Aendelee kuwa kuwadi wa wauza pipi siku zake zaja. Uwaziri umemlevya kijana mteja
Nawaona wajinga tu nyie vijana bt mnaliliangamiza taifa lenu kwa mikono yenu wenyewe na ujinga wenu wenyewe.
 
Serikali ya Nape mbona haikustushwa pale polisi walipokwenda kwenye ofisi za JamiiForums na kutwaa computer kimabavu huku wakiwa na silaha?
Nape na Mengi ni wanafiki tu
Ni kawaida mjinga kujiona anaakili kama wewe na kundi lako.
 
tulikosa rais wa nguvu lowasa, kumbe wengine hata hawakupigiwa kura walijipa wenyewe
 
Tupo gizani sana.We jiulize,Waziri nape nimemwona kwenye taarifa ya habari anasema serekali imestushwa na kitendo cha mkuu wa mkoa dar kuvamia ofisi za clouds media.
Wakati huo huo Rais magufuli anapuuza uvamizi huo.Hivi,Ni serekali gani Nape aliongelea?Ina maana kuna serekali ya wizara ya habari na serekali ya ikulu?Rais ina maana anapuuza serekali yake?Tupo gizani!
Serikali ya kolomije na JMT
 
Waziri Nape atambue kuwa kalamu ni silaha kubwa ya kujenga na kubomoa. Na ndiyo maana sheria ya mitandao na Sheria ya Habari zimetungwa. Anahitajika kusimamia ipasavyo.

Nina amini kwamba Rais alipata taarifa kamilifu kuhusu sakata la RC na Clouds TV.
Sio analipata alikuwa akilijua fika
 
Napenda pia mtambue, simu yangu nilinunua mwenyewe, humu Jf nilijiunga mwenyewe..sikuwa na sheria yoyote ile wakati nafanya mambo yangu hayo..

Nisingependa mtu aniendeshe!
Maonyo walishatolewa kwa waliokuwa wanamjua ila ushabiki wa waTZ umewaponza sasa wanatamani leo iwe 2015! tushachelewa
 
Mwegulu,Makumba,Kasimu wamenawa mikono,Nape pekee anathubutu kupaza sauti,Ila nae atashindwa ataona bora awe mbunge tuu.Sijui 2020 kampeni za Ccm nani atapiga
 
kwa akili za huyu jamaa nadhani anaona heri awe yeye tu kusiwe na waziri wala kiongozi yeyote mwandamizi wa serikali. disgraceful.
 
Back
Top Bottom