Nape Moses Nnauye afunga ndoa

Duuuuh hongera kwake na mkewe.... BTW ina maana hajaenda Kutoa Povu Kalenga?
 
Hongera Nape kwa kumpata mwenza,ila hicho kitambi na ndoa havinogi!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkewe anaonyesha mbabe mbabe, mkorofi, msusaji , na mwenye kupenda kucheka cheka
ila still anaonyesha mvumilivu, mlezi mzuri na pia msikilizaji
 
Huyo ni Nape mwenyewe picha ya Zamani hiyo na huyo ndio bi harusi aliyeolewa baada ya yule wa kwanza kuachwa.
 
uploadfromtaptalk1394480033845.jpg after part serena
 
Picha hazikuruhusiwa kuanzia siku ya send off na harusi watu walikatazwa kupiga picha,Ndoa ilifungwa kwa siri sana huku mke mkubwa aliyeachwa na Nape kwa jina la Tumai ama mama Sechela mzazi mwenzie na Nape kutelekezwa.
 
Huyu mke wa pili anaitwa bi Roby Mkami mfanyakazi wa ABC bank na amezaa nae mtoto mmja ana umri wa mienzi 3 hivi,mke wa kwanza katelekezwa na mtoto wa miaka 4 binti sechela
 
Huyu mke wa pili anaitwa bi Roby Mkami mfanyakazi wa ABC bank na amezaa nae mtoto mmja ana umri wa mienzi 3 hivi,mke wa kwanza katelekezwa na mtoto wa miaka 4 binti sechela
kwa nini amtelekeze?hii ndoa wamefungia mahakamani au kwenye nyumba ya ibada?na waliruhusu vipi kama anauhusiano mwingine?
 
Nape kwani ana nywele au ni kipara...mi nadhani mnataka kuwachanganya watu...huyo anayeoa anaweza asiwe Nape...Nape ni huyo alokaa chini....na nilisikia Nape ameoa long time unless kama ali divorce au anapasha kiporo (which is less likely kwani si mkristu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom