KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 775
ila ni vizuri kuimba mapambio ya kumsifia magufuli!
...na ni vizuri pia wao kuendelea kutumia hiyo hiyo "TV" kama platform ya kuendeshea shughuli zote za kiserikali zenye maudhui yenye kuwapatia sifa na ukuu, huku wakitegemea sisi audience wao 'tuwaone' kwa kupitia hiyo hiyo "TELEVISHENI"