Nape ajikanyaga DW kuhusu kufungia Mawio na kuzuia matangazo ya bunge live

Nchi hii kuna tatizo. Nape alituangaisha akiwa msemaji wa ccm....tukaona ubwege wake....tukaona upuuzi wa kila aina ikiwemo kutaka kuitumbukiza nchi ktk vita kwa 'goli la mkono'.....kwa upuuzi huo hakuna hata aliyewaza Nape kupata ubunge to jimbo la mtera. Bahati mbaya leo ni mbunge na waziri....kubalini haina yote ya ufidhuri atakaowafanyia...hata hakiwatuna na kuwabiga mpeni shavu apige....hamkujua tabia yake?...hamkujus ubabe wake na kiburi chake...hati mnamsikiliza Dw....hawspe majibu gani msiyojua kutoka kwa 'Nape
Wakora waituu
 
siku tukipata viongozi wenye uwezo mkubwa wa kufikiri tutapiga hatua,ila hawa wa mbona uyu yuko hivi,mara yule yuko vile tutaendelea kuzunguka hapahapa tu.
 
Hakunaga kitu nisichopenda maishani mwangu kama kuniambia mbona fulani anafanya..........naweza kumkata kibao mtoa hiyo kauli.......haya ss kama mfano wa kuigwa ni south Africa, basi tuige pia rais wao anavyohangaika na mashtaka mahakamani.
 
Hivi kama nchi tunapaswa kuiga kila kitu toka nje? Hapa walikurupuka!
Wange halalisha na Ufuska maana ni halali katika nchi nyingi tu, kama Sweden na Ufaransa nakadhalika maana tumesha kuwa photocopy.
 
Nape bado ni Katibu mwenezi wa CCM, Cheo cha msemaji kapewa mwingine kwa muda mabadiliko kamili ni ktk vikao vinavyoendelea.
Acha porojo, ina maana Sendeka anafanya nini pale wakati jana ndo alikuwa anatoa habari za CC?
 
Viongozi wengi wa Kitanzania hawanaga misimamo madhubuti ya mambo wayafanyayo, kwa ufupi wanakuwa na uoga na hofu japo wao ndio wanaonekana kuwa na maamuzi. Kichwa cha mtanzania bado sana!!
 
ni aibu sana kama taifa kuendelea kujadili hii issue ya kuangalia tv.
 
Tatizo la Nape ni kwamba bado anahisi ni msemaji wa Chama cha jamii ya mboga mboga......


Akiwa kama waziri mwenye dhamana inatakiwa atoe majibu yanayojitosheleza na sio kuanza kutafuta pa kutokea..............
 
Back
Top Bottom