Napata pesa ila mapenzi yananifanya narudi nyuma hatua milioni moja

Tabia ikishajengeka ni ngumu kutoka.

Mimi shemeji yako mtarajiwa km pesa ninayo na inamipango, hata apife kelele vp simpii, yani hata aliye vip simpi.

Hata aninuniee wiki nzima, pesa hapati, mipango kwanzaa, anasaa baadaee
Kwa hakika we ni mkakamavu wengne tumejizoesha kuwa plizi sana hawa watt ndo wananifanya na mimi nisiingie kwenye kitabu cha matajiri, nitachukua policy yako ya mipango kwanza anasa baadae
 
Nimekuwa ni mmoja wa watu ambao nikiwa na pesa nakuwa mwepesi sana kupata totozi na nawaburuza kweli kweli ila yote hii ilikuwa ni kwa sababu napata vihela vya kawaida kwa hyo skuwa na malengo makubwa zaidi ya kuhitaji kuongeza kipato changu, ila kwa sasa kipato changu kimekuwa na ugonjwa wangu wa wanawake unaongezeka kwa kasi ya ajabu maana kila nikipata pesa nashindwa kuhifadhi mimi nikutumbua tu kwani nakuwa na msukumo mkubwa sana kutoka ndani yangu unaotaka nitumie hiyo hela kwa matumizi ya wakina dada, je wenzetu mnafanyaje kuweza kuhifadhi fedha na kutumiza malengo yenu???
Pesa haikai kabisa na mwaka ndo unakaribia katikati hata vile vimalengo vidogo vidogo vinaanza kunishinda naona hadi aibu maana maisha niliyonayo hayaendani na kipato changu.
Tafuta mwanamke mrembo lakini mwenye hekima kuu,mvumilivu asiye na makuu na anayejitambua atakubadili na kukufikisha mbali
 
Ili umtibu mgonjwa ni lazima ujue aina ya ugonjwa alionao....

Hongera kwa salababu umeshatambua ugonjwa wako na dawa ni kuachana na hao Kinadada na kufanya maisha.
 
Hongera sana mkuu kwa kukuza kipato na totozi ... Ila nakushauri endelea kuhonga totozi na mapenzi weka rehani na vyombo vya ndani na nguo ukalipie vyumba na totozi naamini mafanikio utayapata hakika utanipenda . .
Mhhhhhh
 
Note: Sina nia ya kujisifu au kujiona flan.

Ila huwez amini kuna wakat ikatokea kitambo kidogo nikamiliki Tsh million 15 kwa mara ya kwanza tokea nizaliwe...huwez amini ukiniona kitaa utasema msela hana kitu ovyo tu...kutoka kituo mpaka home nilikua napiga mguu...kwa mtu mwingine angekua anachukua bajaj/bodaboda sijui kununua usafiri et al, sikua kabisa mtu wa bata sijui nyama choma et al, sikua nahonga mwanamke yeyote yule hata nimpende vp ( dem natongoza akileta mambo ya vizinga napiga chini )....but the thing is i always dressed and appeared smart.

Sijui mazee some experiences ni ngumu kueleza....sijui wengine ni ulimbukeni ama kitu gan its like naturally nina discipline katika matumizi ya fedha ( ndivyo nikivyokuzwa na wazazi).

Binafsi nikaja gundua hela kila unapoipata, u feel ndio kwanza huna kitu. Nikiona mtu hana kipato cha kueleweka yet ana spend ovyo my blood boils u kno.
Mfumo wako ndo natamani kuuiga maana hawa wadudu watanimalizia pesa kabisa , hongera kwa kuwa na nidhamu ya pesa
 
Kula totoz mdogo wangu ukiwa bado una nguvu kabla hujahamia kwenye pweza na mkuyati na sijui madawa gani.

Kwa ulimwengu huu ulivyo na warembo na totoz nzuri ni mashoga tu na mahanisi ndio wanaweza kupata maendeleo maana hawana haja ya kuhonga ila kwa marijali ni ngumu sana.
Ujumbe wako kwa kweli unaendana na uhalisia kwani kuwakwepa mademu wa mjini yahitaji upako wa ajabu sana , ila nipo tayari kufanya mabadiliko
 
Sali, omba msaada wa Mungu akusaidie uweze kuvishinda hivyo vishawishi na pia jitahidi usiendekeze starehe na anasa. Ukiendelea hivyo utabaki hapo hapo, huku ukiangalia wenzako wakifanikiwa kimaisha na kusonga mbele.
Nitajitahidi kuzingatia ushauri wako
 
Ili umtibu mgonjwa ni lazima ujue aina ya ugonjwa alionao....

Hongera kwa salababu umeshatambua ugonjwa wako na dawa ni kuachana na hao Kinadada na kufanya maisha.
Asante kwa pongezi na ushauri , kwenye kuwakwepa ndo inakuwa kazi ngumu kwelikweli
 
Note: Sina nia ya kujisifu au kujiona flan.

Ila huwez amini kuna wakat ikatokea kitambo kidogo nikamiliki Tsh million 15 kwa mara ya kwanza tokea nizaliwe...huwez amini ukiniona kitaa utasema msela hana kitu ovyo tu...kutoka kituo mpaka home nilikua napiga mguu...kwa mtu mwingine angekua anachukua bajaj/bodaboda sijui kununua usafiri et al, sikua kabisa mtu wa bata sijui nyama choma et al, sikua nahonga mwanamke yeyote yule hata nimpende vp ( dem natongoza akileta mambo ya vizinga napiga chini )....but the thing is i always dressed and appeared smart.

Sijui mazee some experiences ni ngumu kueleza....sijui wengine ni ulimbukeni ama kitu gan its like naturally nina discipline katika matumizi ya fedha ( ndivyo nikivyokuzwa na wazazi).

Binafsi nikaja gundua hela kila unapoipata, u feel ndio kwanza huna kitu. Nikiona mtu hana kipato cha kueleweka yet ana spend ovyo my blood boils u kno.
Senior Boss. Apriciate you
 
Asante kwa pongezi na ushauri , kwenye kuwakwepa ndo inakuwa kazi ngumu kwelikweli
Wewe ndio dereva WA maisha yako, utakachoamua ndio kitakchotokea.

Niamin ukimua kubadilika unaweza na ukikiri kushindwa utashindwa

Learn to think positively every time utaweza kubadili mtazamo WA maisha shako
All the best
Think positive
 
KULA BATA KIJANA KULA BATA USICHOKE.ENDELEA HIVYO HIVYO,ASIYEFUNZWA NA ULIMWENGU ATAFUNZWA NA WANADAMU.
 
Kila unalopitia kwenye maisha yako ni hatua ya kukujenga baadae.. Nakushauri endelea kuchezea hizo pesa ili mradi ni zako kihalali na siyo mkopo.

hiyo tabia utaiacha tena ni wazi huipendi. Kinachokuponza ni maisha ya umaskini utotoni mwako.

Nasema utaacha kwa kuwa hatA mimi nilikuwa kama wewe mwaka mmoja uliopita. Nilikuwa nikipata mshaharA siendi kazini ziku tatu mpaka pesa iishe.

lakini huwezi amini sasa hivi nina save 50% ya mshahara wangu. Na kila nikipata pesa naona bado haitoshi.
 
Ukijua tatizo ni mwanzo wa kulitatua. Muombe Mungu akusaidie. Pesa isikupelekeshe bali ww ndio uipelekeshe pesa. Vyote ni possible ukisali. Shetan kakumata sehemu 2 ktk uchumi na uasherati.
 
Back
Top Bottom