MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 4,282
- 11,516
Inaweza kulipuka jamani
Ni kama ile plate no ya 3D. Gari ikiwa ndogo inakuwa kama inaumwa
Bado ni ulimbukeni... Tetea vile uwezavyo hata uniite masikini mara elfu. Bado haibadiliki kwamba huo ni ulimbukeni.nilichojifunza maskini tuna katabia fulani ka kijinga sana yaani vile vitu tusivyoweza kumudu kutokana na umaskini wetu basi huwa tunaviundia namna vionekane vibaya au ni ushamba kufanya....... mtu ana ndinga yake ya over 300m alafu kaweka jina lake pale ww maskini unawezaje kusema ni ulimbukeni wakati gharama ya plate number na gari vikibadilishwa kuwa pesa mnagawana ukoo mzima hadi mpigane mkafie mbali......
maskini tuache kujitwisha mizigo mingi hapo mtu hajala kitu ya kueleweka ni mzigo wa kwanza pili anaishi pasipoeleweka ni mzigo wa pili bado umebeba mizogo ya kufuatilia watu ambao muda mwingine hata huwajue ubebe mzigo wa chuku uvivu wivu na huenda muda mwingine unaloga kwahyo mizigo ipo kibao.
relax chukulia vitu kwa upande chanya zaidi
Huu utaratibu wa kuandika majina hata huko mbele upo,na wako ni washamba?Na hapo ndipo ulimbukeni wenyewe ulipo. Unalipia milioni 10 ili tu ukipita wajue yule ZWAZWA kapita?! ULIMBUKENI.
🤣🤣 hata matako wengine hawana wanakalia spinal cord.Unajua wanailipia sh. Ngapi hio plate no?Au unadhani Yale Ni matako kila mtu anayo sio?
Ni kwa mfano Mimi hapa nakuona Wewe zwazwa hatari kwa kuweka avatar ya gari.Na hapo ndipo ulimbukeni wenyewe ulipo. Unalipia milioni 10 ili tu ukipita wajue yule ZWAZWA kapita?! ULIMBUKENI.
Swali la msingi 👏🏿Huu utaratibu wa kuandika majina hata huko mbele upo,na wako ni washamba?
Inawezekena kweli gari sina. Ila bado ni ulimbukeni. Ushamba. Mtu mwenye pesa hawagi na hizo mambo. Malimbukeni tu ndo tabia zao hizo.Ulimbukeni ni wewe hapo kupangia matumizi halali ya wanaume wenzio wakati hela hukuwasaidia kutafuta. Tabia hizi wanatakiwa kuwa nazo wanawake kwenye ndoa tu.
Ungekuwa na gari la hadhi hiyo ila hukuweka private plate hapo angalau, ila sasa ukute gari lenyewe huna alafu unaleta maoni.
Kinyeo kingependeza zaidi.Ulitaka niweke pumbu?🤔
Umaskini ni ishara tosha kabisa kuwa ni dalili za mwanzo za uchawi. 🤒🤒Sijui kwanini wasio na pesa huonekana kuwachukia wenye pesa mazeeee...🤔
Kwa nini usifikirie kama staff wa ofisi fulani kuwa na kitambulisho chenye jina ni ulimbukeni?Mimi kuwa masikini au tajiri haibadili kitu. Bado huo utasalia kuwa ulimbukeni...