Naona nimepigwa na Seller wa AliExpress

SankaraBoukaka

JF-Expert Member
Jul 2, 2019
1,264
1,966
Kwa mara ya kwanza niliamua na mimi niagize kupitia AliExpress, juzi tarehe 2 nililipia kiatu cha mtoto cha elf 40 na ni free shipping, nikawa nafuatilia process mpaka ikaishia kuwa iko Airport. Leo asubuhi nacheki ile Order yenyewe haipo na ile Tracking Number haifanyi kazi huku AliExpress ila niki-track kwenye website zingine inanionyesha kilishapakiwa kwenye ndege kuja huku TZ tokea tarehe 6...

Huku Customer Care ya AliExpress ni maroboti akina Eva ndo wananizungusha..
 
Kwa mara ya kwanza niliamua na mimi niagize kupitia AliExpress, juzi tarehe 2 nililipia kiatu cha mtoto cha elf 40 na ni free shipping, nikawa nafuatilia process mpaka ikaishia kuwa iko Airport. Leo asubuhi nacheki ile Order yenyewe haipo na ile Tracking Number haifanyi kazi huku AliExpress ila niki-track kwenye website zingine inanionyesha kilishapakiwa kwenye ndege kuja huku TZ tokea tarehe 6...

Huku Custumer Care ya AliExpress ni maroboti akina Eva ndo wananizungusha..
hujapigwa sio rahis kiivo subiria deadline na kupokea iko kitu uriport jtakjwa refunded
 
Utakuwa ume-confirm order kama umeipokea ndo maana ikapotea.
Inawezekana maana usiku wake nilipitiwa na kausingizi wakati naperuzi hiyo page yenye hizo order, asubUhi ndo naamka nakuta patupu... Kwani kama nime-confirm si ilitakiwa iwe kwenye category ya PROCESSED? Halafu hata ile namba za Order na Tracking zenyewe nikii-search hazipo .
 
Uki-Confirm order inaenda kwenye option ya "to review"
 
Back
Top Bottom