SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,264
- 1,966
Kwa mara ya kwanza niliamua na mimi niagize kupitia AliExpress, juzi tarehe 2 nililipia kiatu cha mtoto cha elf 40 na ni free shipping, nikawa nafuatilia process mpaka ikaishia kuwa iko Airport. Leo asubuhi nacheki ile Order yenyewe haipo na ile Tracking Number haifanyi kazi huku AliExpress ila niki-track kwenye website zingine inanionyesha kilishapakiwa kwenye ndege kuja huku TZ tokea tarehe 6...
Huku Customer Care ya AliExpress ni maroboti akina Eva ndo wananizungusha..
Huku Customer Care ya AliExpress ni maroboti akina Eva ndo wananizungusha..