SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,264
- 1,966
hujapigwa sio rahis kiivo subiria deadline na kupokea iko kitu uriport jtakjwa refundedKwa mara ya kwanza niliamua na mimi niagize kupitia AliExpress, juzi tarehe 2 nililipia kiatu cha mtoto cha elf 40 na ni free shipping, nikawa nafuatilia process mpaka ikaishia kuwa iko Airport. Leo asubuhi nacheki ile Order yenyewe haipo na ile Tracking Number haifanyi kazi huku AliExpress ila niki-track kwenye website zingine inanionyesha kilishapakiwa kwenye ndege kuja huku TZ tokea tarehe 6...
Huku Custumer Care ya AliExpress ni maroboti akina Eva ndo wananizungusha..
Deadline yenyewe sina hata pa kuonea maana Order ime-vanish hata ile number nikiangalia naambiwa haipo.hujapigwa sio rahis kiivo subiria deadline na kupokea iko kitu uriport jtakjwa refunded
Utakuwa ume-confirm order kama umeipokea ndo maana ikapotea.Deadline yenyewe sina hata pa kuonea maana Order ime-vanish hata ile number nikiangalia naambiwa haipo.
Inawezekana maana usiku wake nilipitiwa na kausingizi wakati naperuzi hiyo page yenye hizo order, asubUhi ndo naamka nakuta patupu... Kwani kama nime-confirm si ilitakiwa iwe kwenye category ya PROCESSED? Halafu hata ile namba za Order na Tracking zenyewe nikii-search hazipo .Utakuwa ume-confirm order kama umeipokea ndo maana ikapotea.
Visa card ya VodaUmelipia kwa utaratibu gani?
KAZI ni kipimo cha utu
Uki-Confirm order inaenda kwenye option ya "to review"Inawezekana maana usiku wake nilipitiwa na kausingizi wakati naperuzi hiyo page yenye hizo order, asubUhi ndo naamka nakuta patupu... Kwani kama nime-confirm si ilitakiwa iwe kwenye category ya PROCESSED? Halafu hata ile namba za Order na Tracking zenyewe nikii-search hazipo .