ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,368
- 50,739
WamechelewaNangoja miongozo pia
Hili lipo sana bongo, mtu anaweza kuwa na mashine ambayo hata wa kuifanyia service hapatikani nchi hii, mwisho wa siku linajifia zake.Tatizo la bongo unaweza kupata duka linauza hizo mashine au za aina nyingine lakini shida inakuja likiharibika hawana spea
Yaani mtu analeta bidhaa bila spea yeye anakuuzia likifa basi
Mfanyabiashara makini analeta bidhaa na spea zake zote huyo anakuwa ameshinda
Yaani only in AfricaHili lipo sana bongo, mtu anaweza kuwa na mashine ambayo hata wa kuifanyia service hapatikani nchi hii, mwisho wa siku linajifia zake.
Huwa wanaangalia wapatacho muda huo sio kwa baadae ndo maana kuanzisha biashara na machine za kuagiza huwa ngumu Sana to survive nchini.Yaani only in Africa
Ulaya na nchi za Asia au kwingine huwezi kuta ujinga huu
Kwanza kuwa na spea kwenye bidhaa zako ni muhimu maana biashara itadumu
Wengi hawajui biashara wamedandia tu
Wao wanaagiza kama ni pikipiki hata awe peke yake nchini anaagiza kama pikipiki tuHuwa wanaangalia wapatacho muda huo sio kwa baadae ndo maana kuanzisha biashara na machine za kuagiza huwa ngumu Sana to survive nchini.
Una mpango wa kuuza Kiasi gani hayo maji ? Na Competition ya kina Uhai n.k. wao wanauza Kiasi gani ? Usisahau kuweka Cost ya Services mfano Umeme na Refilling...1.bei ya Hizo water ATM
2.zinapatikana wapi nchini
3.changamoto zake na faida zake
4.mahitaji yake (leseni? Vibali? N. K)
Ndio shida hiyo tunahitaji mabadiliko ili tuweze kwenda sambamba na maendeleo/mabadiliko ya teknolojia.Yaani only in Africa
Ulaya na nchi za Asia au kwingine huwezi kuta ujinga huu
Kwanza kuwa na spea kwenye bidhaa zako ni muhimu maana biashara itadumu
Wengi hawajui biashara wamedandia tu
Kweli kabisa yaani tumegoma kwenda na wakati kabisaNdio shida hiyo tunahitaji mabadiliko ili tuweze kwenda sambamba na maendeleo/mabadiliko ya teknolojia.
Tatizo ni mifumo yetu kuanzia ya elimu ni changamoto.Kweli kabisa yaani tumegoma kwenda na wakati kabisa
Wenzetu ukiona wanavyo pambana kwa kila sekta hadi unasema hivi wabongo wana shida gani