Sex body
JF-Expert Member
- Nov 30, 2023
- 393
- 869
Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa,
katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao huu wa yas, awamu ya kwanza nimenunua kifurushi kupitia huduma ya tigo pesa,pesa ikakatwa ila sikuonganishwa na kifurushi nimewatafuta sana majibu wanayo toa ni uswali mwezi sasa pesa hiyo hajarudishwa mpaka sasa nikapotezea juzi tena nenunua kifurushi pesa pia imekatwa tigo pesa ila kifurishi hawajanionganishia kila ukipiga cm majibu yao ni mtandao haujaa kaa sawa ili kudhihirisha wana huu wizi hua wanakataa cm ukiwabana sana maana hawana majibu .
Je kwa hali hii hua mnatumia mbinu gani kwa watumiaji wenzangu wa huu mtandao