Allelujah
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 452
- 414
Bro unajua Orthodox mwezi wao una siku 15...na ndo maana wana celebrate christmass mwez wa sita??..fuatilia..si ndo apo mjini wapo pale jirani na Redcross?Kwa kidogo nilivyojiandaa then nikipata nafasi ya kutosha nitakujuza zaidi ni kwamba kanisa katoliki na la kiorthodox ni makanisa yenye mahusiano/uhusiano mkubwa sana. Kanisa katoliki lilianzishwa na mtume petro alipokwenda kuweka makazi yake pale Roma -Italia na kanisa la orthodox lilianzishwa na mtume Andrea ambaye makazi yake aliyaweka Ugiriki. Uhusiano uliopo kati ya Roman Katoliki na kanisa la Orthodox ni kwamba Mtume Petro na Mtume Andrea ni mtu na ndugu yake na wote ni mitume wa Yesu Kristo na kusambaa kwao ni katika jitihada za kumtangaza Yesu Kristo.
Nikikumbuka nitakuwekea chanzo/source.