Naomba kujuzwa standard size za matofali ya cement kwa milimita.

Yah utofauti upo kwenye unene tu, kuna tofali za nchi 4 pia (hizi zinatumika sana kwenye kuta za partition, closet, coping wall n.k) . Zenyewe thickness yake ni 100mm
Kwakuwa huko hapa unaweza kunipa sababu za kiufundi au kiuchumi kwa nini sioni tofali za aina hii (picha) hazitumiki sana.
 

Attachments

  • Hollow.png
    Hollow.png
    196.2 KB · Views: 1
Kwakuwa huko hapa unaweza kunipa sababu za kiufundi au kiuchumi kwa nini sioni tofali za aina hii (picha) hazitumiki sana.
Hizi zinatumika sana kwenye majengo ya ghorofa ndg

Lengo la hayo matobo ni kufanya jengo lisiwe na uzito mkubwa. Majengo ya ghorofa uzito wake hubebwa na nguzo, kuta zinatumika kama partition tu (hapa nazungumzia framed structure)
 
Hayawezi kufaa kujengea fence ili kupunguza matumizi ya cement?
Sikushauri ndg, fence ni free standing wall na inakutana na forces nyingi ikiwemo nguvu ya upepo (wind load), earth pressures n.k kwa hivyo inahitaji tofali nzito na imara. Hizi hollow blocks tumia kwenye kuta za partition tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom