Tofali la inch 6:Tofali la inch 6:
Length = x mm
Width = x mm
Depth = x mm
Tofali la inch 5:
Length = x mm
Width = x mm
Depth = x mm
Ahsante sana.Tofali la inch 6:
Length = 450 mm
Width = 230 mm
Depth = 150 mm
Tofali la inch 5:
Length = 450 mm
Width = 230 mm
Depth = 125 mm
Hapo kwenye depth ungesema thickness ingependeza zaidi
Yah utofauti upo kwenye unene tu, kuna tofali za nchi 4 pia (hizi zinatumika sana kwenye kuta za partition, closet, coping wall n.k) . Zenyewe thickness yake ni 100mmAhsante sana.
Kumbe tofauti ya 6in na 5in ni kwenye thickness. Nilidhani ni length.
Rafiki width siyo 225mmTofali la inch 6:
Length = 450 mm
Width = 230 mm
Depth = 150 mm
Tofali la inch 5:
Length = 450 mm
Width = 230 mm
Depth = 125 mm
Hapo kwenye depth ungesema thickness ingependeza zaidi
Kwakuwa huko hapa unaweza kunipa sababu za kiufundi au kiuchumi kwa nini sioni tofali za aina hii (picha) hazitumiki sana.Yah utofauti upo kwenye unene tu, kuna tofali za nchi 4 pia (hizi zinatumika sana kwenye kuta za partition, closet, coping wall n.k) . Zenyewe thickness yake ni 100mm
Ni swali au rekebisho?Rafiki width siyo 225mm
Hizi zinatumika sana kwenye majengo ya ghorofa ndgKwakuwa huko hapa unaweza kunipa sababu za kiufundi au kiuchumi kwa nini sioni tofali za aina hii (picha) hazitumiki sana.
Hapana ndg, exact huwa ni 230mm.Rafiki width siyo 225mm
Hayawezi kufaa kujengea fence ili kupunguza matumizi ya cement?Hizi zinatumika sana kwenye majengo ya ghorofa ndg
Lengo la hayo matobo ni kufanya jengo lisiwe na uzito mkubwa. Majengo ya ghorofa uzito wake hubebwa na nguzo, kuta zinatumika kama partition tu (hapa nazungumzia framed structure)
Sikushauri ndg, fence ni free standing wall na inakutana na forces nyingi ikiwemo nguvu ya upepo (wind load), earth pressures n.k kwa hivyo inahitaji tofali nzito na imara. Hizi hollow blocks tumia kwenye kuta za partition tuHayawezi kufaa kujengea fence ili kupunguza matumizi ya cement?