Nani kawahi kuona NGO ya wachina hapa Tanzania? Kama hazipo sababu haswa ni nini kuja kufanya kazi nchi kama Tanzania?

Koica ni ya wakorea kusini ,kirefu chake ni Korea international cooperation agency

Jica ni ya wajapan ,kirefu chake ni Japan international cooperation agency,Hawa wanatoa sana misaada bongo kama kujenga madarasa mfano kwenye shule za msingi za maeneo ya temeke na tabata ,vyoo pamoja na ufadhili wa vyuo nje ya nchi
Koica na jica hawatoi pesa cash wanajua zitaliwa wao wanatoa miradi.
Zile shule wangetoa cash kina...wangeongezea kununulia mabus.
 
Of course ukiangalia namna wanajali social life ya watanzania, naweza sema West wanagusa zaidi maisha ya watanzania kuliko China.
West wanaisaidia afrika ili kuchukua baraka zetu na si kwamba wanatupenda sana .Dunia Ina Siri nyingi sana nyuma ya nguvu ya utoaji.
 
Naona una frustrations zako unatamani zimalizia hapa. Unajua kuna ndugu zako wanafanyiwa tohara kwa uwezeshaji wa hizi NGO? Kuna ndugu zako wanawezeshwa mpaka vyoo wajisaidie kama binadamu aliyestaarabika.
Unapenda sana slope mjinga wewe. Slope zina madhara utakuja raruriwa
 
Umaskini haujaletwa na NGO, nchi yako haijawai kuwa tajiri. Hao wamekuja kukusaidia sababu huwezi hata kuchimba choo kizuri
Akili zimo kweli wewe ?toka wameanza hivyo viharakati vyao so far kipi kimebadilika au ndio mnazidi kuwa masikini, wapuuzi na washenzi
 
Mchina akijitolea kujenga kitu kapiga hesabu ya kujilipa mara SITA kaona kitu mfano madini,nk.
Mfano alitoa msaada wa kuijenga reli ya tazara baada ya kuiba ramani ya zilipofichwa hazina za mjerumani Mzee wangu wangu alikuwa mtoza ushuru bandarini hawakuruhusiwa kuhoji masanduku makubwa wachina waliokuwa wanajenga reli wakiyapakia kwenye meli kupeleka kwao china.
Mmarekani alipoona mchina kaigundua siri anaiba mali kali nae akajifanya kujenga Bomba la mafuta akiambaa na reli ya mchina akila nae mali,walikuwa wakipigana pana maungio yaani lazima bomba likatize reli.
Mchina afanyi hasara katumwa pesa.
 
Back
Top Bottom