Nani kawahi kuona NGO ya wachina hapa Tanzania? Kama hazipo sababu haswa ni nini kuja kufanya kazi nchi kama Tanzania?

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
754
3,136
Naomba nisaidieni kama kuna mtu kawai ona NGO ya kichina nna taka kufanya research kuhusu mchango wa NGO za China kwenye social services za Tanzania. Nipige comparative study China vs Western.

Binafsi sijawai ona NGO ya kichina Tanzania na sijui sababu ni nini ata kupata volunteer wa kichina ni kazi.
Awa wachina biashara zote tunafanya hawatoi hata service kupitia NGO?

Nwasilisha
 
Ile KOICA ni ya nani?
 
Hao west wanatupenda sana, si ndio eeh?
 
Koica ni ya wakorea kusini ,kirefu chake ni Korea international cooperation agency

Jica ni ya wajapan ,kirefu chake ni Japan international cooperation agency,Hawa wanatoa sana misaada bongo kama kujenga madarasa mfano kwenye shule za msingi za maeneo ya temeke na tabata ,vyoo pamoja na ufadhili wa vyuo nje ya nchi
 
IMG_20240317_195108.jpg
 
NGO za wachina za kazi gani wewe ngumbaru unaewaza kuiba baada ya kuingia ofisini?

Wachina wana taratibu zao kwamba mhujumu uchumi auawe wakati taratibu zenu katika Jambo la kwanza ni kuhujumu uchumi pale tu mnapoachiwa kazi 😏

Nyingi endeleeni na hao wamagharibi ambao wanawatumia kuiba rasilimali zenu
 
NGO za wachina za kazi gani wewe ngumbaru unaewaza kuiba baada ya kuingia ofisini?

Wachina wana taratibu zao kwamba mhujumu uchumi auawe wakati taratibu zenu katika Jambo mnalopenda ni kuhujumu uchumi pale tu mnapoachiwa kazi 😏

Nyingi endeleeni na hao wamagharibi ambao wanawatumia kuuza rasilimali zenu
Umepata futari leo?
 
Back
Top Bottom