kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,260
- 6,992
wameshirikishwa.
mkuu matumizi ya cap bado yapo??????(The Public Holidays Act, Cap 35)
Huyu ni Rais wa Muungano
Lakini mbona juzi tu amesema mambo ya Zanzibar hayamuhusu?Rais Magufuli ni Rais wa Dr.Shein pia
1. Kwa wanandoa mume anaweza kuamua njia ya kutawala nyumba bila kuhojiwa.
2.mke kama hakubaliani basi atake talaka!
Ila ukiona kakaa kimya anajua msaada gani mume anamsaidia..
So haijamkera
Yaani post zote - umeona hii ndiyo inakufaa kujibu, acha kuokoteza maneno, pia soma post #9 uelimike.kwa hiyo znz ni ke? hii sasa dhihaka kwa wanamapinduzi.
1)Kwa niaba ya 40m ameamuaNajaribu kuwaza kwa upana zaidi, kufuatia tamko lililotolewa na ikulu kuwa Rais Magufuri amefuta sherehe za muungano na kuamuru pesa zitumike kukarabati bara bara ya Airport Mwanza, kuna maswali ya msingi yameibuka.
1) Kwanini amefanya maamuzi yahusuyo "muungano" bila kushirikisha pande zote? yaani serikali ya Tanganyika na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar?
2) Kwanini pesa zilizochangiwa na nchi mbili huru, zitumiwe na upande mmoja wa muungano?
Ni hayo tu
Tume ya katiba (Mcheza pool table maarufu)
Najaribu kuwaza kwa upana zaidi, kufuatia tamko lililotolewa na ikulu kuwa Rais Magufuri amefuta sherehe za muungano na kuamuru pesa zitumike kukarabati bara bara ya Airport Mwanza, kuna maswali ya msingi yameibuka.
1) Kwanini amefanya maamuzi yahusuyo "muungano" bila kushirikisha pande zote? yaani serikali ya Tanganyika na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar?
2) Kwanini pesa zilizochangiwa na nchi mbili huru, zitumiwe na upande mmoja wa muungano?
Ni hayo tu
Tume ya katiba (Mcheza pool table maarufu)
Ha ha ha so...is our wife'oooo
wataelewa taratibuAkili za hovyo sana hizi, yaani kisa magufuli yupo chato basi hajawashirikisha viongozi wa zanzibar! Mma safari ndefu sana.
Una ushahidi gani kuwa haya ni maamuzi yaliyofanywa wiki hii na sio mwezi wa kwanza?? Tuliza kalio, acha kukurupuka kama umemwagiwa maji ukiwa usingizini.
Duh weye waajabu kweli.Mkuu unanijua mimi nani?
Unauhakika na unacho kisema au umekurupuka?Tatizo magufuli amejijengea uzio na wanaopaswa kumshauri kiasi kwamba wanamuogopa
Rais Magufuli ni Rais wa Dr.Shein pia ila Dr.Shein si Rais wa Dr Magufuli
Watupe chetu na sisi tutafute mradi tufanye wasitudhihaki hapa, mwanza na zanzibar wap na wap???Najaribu kuwaza kwa upana zaidi, kufuatia tamko lililotolewa na ikulu kuwa Rais Magufuri amefuta sherehe za muungano na kuamuru pesa zitumike kukarabati bara bara ya Airport Mwanza, kuna maswali ya msingi yameibuka.