Nani kampa rais Magufuli uwezo wa kufuta sherehe za muungano bila kushirikisha Zanzibar?

Inawezekana sio mambo ya fedha tu bali hata mambo ya usalama yanaweza kuhusika!!! Kule Zenj hakujatulia!!
 
Hata kulipa fidiaTE="manyimbo, post: 15782547, member: 64483"]Ndio maana Tanganyika hawako tayari kuiachia znz wanahofia kuulizwa maswali kama hayo. ccm kuendelea kutawala kimabavu znz ni kinga kwa tanganyika[/QUOTE]
Hata
 
Akili za hovyo sana hizi, yaani kisa magufuli yupo chato basi hajawashirikisha viongozi wa zanzibar! Mma safari ndefu sana.
Una ushahidi gani kuwa haya ni maamuzi yaliyofanywa wiki hii na sio mwezi wa kwanza?? Tuliza kalio, acha kukurupuka kama umemwagiwa maji ukiwa usingizini.
Basi angalisema kwa kushirikiana na Rais wa Zanzibar tumeamua kufuta sherehe za mungano hii ingalitutowa wasiwasi lakini upo Chatoooo unafuta sherehe dah kweli Zanzibar nawaonea huruma sana ichi imekwenda bara
 
Nadhani muungano wa nchi mbili sio sawa na ndoa ya kisukuma kuwa baada ya ndoa kila asemacho mime mama anaitikia Wabheja! Union ni kitu tofauti, unless uniambie kwa mgogoro uliopo Zenji labda spiritual Magu anaungana na Seif kutomtambua Shein. Nimesema spiritual!
Mkuu inawezekana ikawa kweli magu baadae ya kunyimwa misaada nahisi kabadilika hata kumshauri mwenzake kufuta sherehe naona kupoteza mda
 
Usijenge hoja kwa kutumia hisia zako.

Nimekuambia sijala na nahitaji chakula?

Kama wewe ukiwa na njaa unapata hasira, usiweke mwanvuli wa haiba yako kwa kila binadamu. Kuna uwezekano mwingine akipata njaa huwa hasira zinamtoka.
Tusigombane JF bure! Bahati nzuri ni kuwa hapa jamvini kwa kushiriki pamoja mambo mengi tumetokea kufahamiana tabia through uandishi wa mtu. Ni ajabu kuwa huko nyuma hukuwa hivyo! Huna tabia za kupata mihemko na hasira za haraka kwa hoja ya mtu thats why fikra ya kwanza ni kukudhania una hasira na hujala, ukila utatulia.
Mlo mwema mkuu!
 
Uliwahi kujiuliza kwanini wakati wa sherehe za Muungano huwa ni za upande mmoja zaidi na waingiao pale kwa pamoja kwanini huwa ni rais na mkuu wa majeshi?
 
Najaribu kuwaza kwa upana zaidi, kufuatia tamko lililotolewa na ikulu kuwa Rais Magufuri amefuta sherehe za muungano na kuamuru pesa zitumike kukarabati bara bara ya Airport Mwanza, kuna maswali ya msingi yameibuka.

1) Kwanini amefanya maamuzi yahusuyo "muungano" bila kushirikisha pande zote? yaani serikali ya Tanganyika na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar?

2) Kwanini pesa zilizochangiwa na nchi mbili huru, zitumiwe na upande mmoja wa muungano?

Ni hayo tu

Tume ya katiba (Mcheza pool table maarufu)
Kamuulize rais wa Zanzibar atakavyokujibu ndo uje badala ya kukurupuka tu.
 
Najaribu kuwaza kwa upana zaidi, kufuatia tamko lililotolewa na ikulu kuwa Rais Magufuri amefuta sherehe za muungano na kuamuru pesa zitumike kukarabati bara bara ya Airport Mwanza, kuna maswali ya msingi yameibuka.

1) Kwanini amefanya maamuzi yahusuyo "muungano" bila kushirikisha pande zote? yaani serikali ya Tanganyika na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar?

2) Kwanini pesa zilizochangiwa na nchi mbili huru, zitumiwe na upande mmoja wa muungano?

Ni hayo tu

Tume ya katiba (Mcheza pool table maarufu)

Zanzibar haichangii chochote katika uendeshaji wa muungano na yawezekana katika uchaguzi wa marudio wamepigwa jeki na upande wa mapato ya bara.
 
Najaribu kuwaza kwa upana zaidi, kufuatia tamko lililotolewa na ikulu kuwa Rais Magufuri amefuta sherehe za muungano na kuamuru pesa zitumike kukarabati bara bara ya Airport Mwanza, kuna maswali ya msingi yameibuka.

1) Kwanini amefanya maamuzi yahusuyo "muungano" bila kushirikisha pande zote? yaani serikali ya Tanganyika na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar?

2) Kwanini pesa zilizochangiwa na nchi mbili huru, zitumiwe na upande mmoja wa muungano?

Ni hayo tu

Tume ya katiba (Mcheza pool table maarufu)
Wewe ni jipu, huelewi unachokisema!
 
Hivi zenji inachangia bei gani katika hili mzee? Rasilimali za tanganyika ni za Tanzania lakini rasilimali za zenj ni kwa ajili ya zenj pekee. Hawachangii chochote
 
Haiitaji akili kumtetea kiongozi wa juu serikalini ngoma na akili nyingi kumkosoa utajua tu niwepi wenye uwezo
 
Mengi mtahoji sana mwaka huu lkn tulishafanya maamuzi nchi hii cyo shamba la bb kila mtu anajitafunia tuu mazao
 
1. Kwa wanandoa mume anaweza kuamua njia ya kutawala nyumba bila kuhojiwa.
2.mke kama hakubaliani basi atake talaka!
Ila ukiona kakaa kimya anajua msaada gani mume anamsaidia..
So haijamkera
Aisee kwa hiyo znz ndio k aisee wewe
 
Povu linawatoka watu. ...uongozi ni maamuzi.

Haya sasa peleka mboga nyumbani wanasubiri. ..tushaona mchango wako
 
Back
Top Bottom