kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,830
- 20,259
hahahahaha daudi umeua ndugu yanguMkuu basi wewe nenda Mombasa kama unaona wanafaidi sana hapo Nairobi.
hahahahaha daudi umeua ndugu yanguMkuu basi wewe nenda Mombasa kama unaona wanafaidi sana hapo Nairobi.
Tungekuwa na huruma tungekazania kupiga kelele tuwapate watesi wa Lissu!Nkamu ghwangu huoni lile jopo ni zito sana? Kwanini wasipungue lakini?
Anaekulipia bando mwambie asitishe hata kwa wiki iyo pesa mchangie kwa lissuAliyekwambia bando nalipia nani?
Furaha ya CCM ni kuona wananchi wote ni masikini. Shame CCMUmasikini unakusumbua. Ndio nyie mnaoshangilia kila mkisikia mtu ametumbuliwa kwamba mkose wote
Umeshauliza sababu za wao kuwepo huko? Ungeziweka hapa ili wrote tuone kwamba sio za msingi kisha tukusupportNajua sio masikini lakini kwanini hizo fedha wasichangie kwenye matibabu kuliko kukaa huko Nairobi bila sababu ya msingi?
Acha kujionyesha kuwa huna akili mkuu, mbunge analipwa zaidi ya 12M kwa mwezi nje na posho zingine hivyo anaweza kuishi popote pale duniani.
Shida ya CCM ni kukosa akili, hotel nzuri Nairobi zipo mpaka za elfu 30 za Kitanzania, ficha ujinga wako mkuu.Ukipata mchanganuo wake ndio utajua kati ya Mimi na wewe nani hana akili. Analipwa 12M? Haha ha ha haaaa
Akachangie kwenye matibabu kukaa Nairobi wakati tunauhitaji wa pesa si sawaMtu anamwaka wa7 huu kwenye ubunge inamaana anakosa pesa ya kukaa hata mwezi nchi yeyote ya east Africa jamani huu umasikini mliojengewa na wazazi wenu jitahidini kuuficha uko uko kwenu ukitoka nje ujue utakutana na mtu mwenye kipato kushinda familia yenu nzima
Eti chama chetu!!!!?????Kwa chama chetu kilivyo sidhani kama watakuja na mchanganuo
Wewe CCM umezaliwa kwenye nyumba za tembe unajua kinachoendelea duniani?Hotel nzuri unaijua kweli mzee?
Wamekwambia hawana hela ya matibabu?Najua sio masikini lakini kwanini hizo fedha wasichangie kwenye matibabu kuliko kukaa huko Nairobi bila sababu ya msingi?
Wako kiusalama zaidi,au mnataka waondoke ili mkamlizie siyo!?Najua sio masikini lakini kwanini hizo fedha wasichangie kwenye matibabu kuliko kukaa huko Nairobi bila sababu ya msingi?