Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

Wacha wakae wanasababu ya kufanya hivyo,unataka wapungue ili iweje??? Unajidai kujali gharama,umechangia bei gani???
 
Mtu atapimwa kwa uwezo wa akili alizonazo. Uzima wa Shujaa TL ni Mkubwa kuliko sh Bilioni ziwe milioni. Wenye mikono ya Birika endeleeni na rohi zenu. God will hael TL
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Hakuna hats senti yako wanayotumia,kaa ukijua kwa hali aliyonayo lisu pamoja na familia yake wengine uliowahoji ni waratibu wa kadhia iliyomkuta Lisu,familia yake haitaweza,mambo ni mazito kupita uwezo wao, mathalani waliopo wanaratibu na kushiriki ulinzi wa lisu halo Kenya.
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
NI NANI ANAYEGHARAMIA PEDI ZA Dadako?ukipata jibu hilo utaelewa kenge wewe!
 
Pesa kutumika sio shida si imetoka kwa watu wenye mapemzi mema naye! Atakama angekwensa ugaibuni cha msinhi apone na arudi nyumbani salama
 
Ni wanachama wa CDM na wapenzi wa Lissu, kazi yao kubwa ni ulinzi ili yale 'mashetani' yasipate nafasi ya kummaliza.
Kwani wewe unawashwa nini? umeombwa mchango? unaonekana wewe ni mchawi na mwanga!
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Acha unafki wa kikuda ya lisu hayakuhusu mmeisha Fanya mlio ya Fanya bado tu hamjatosheka.
 
Hivi unategemea mtu kama Lema aliyesaidiwa kwa hali na mali na Tundu Lissu hadi akarejeshewa ubunge wake leo ashindwe kuishi Nairobi kwa gharama zake binafsi za kula kulala na kusafiri kwenda hospitali? Wala hashindwi! Yule kule Nairobi anaishi kwa gharama zake na vilevile mchango anatoa. Msigwa yeye alikuwa miongoni mwa wabunge wawili walioondoka na mgonjwa na hawezi kurudi yeye wala Mbowe mbali na kwamba wanatumia gharama zao binafsi.

Mimi mwenyewe naelekea huko na sitashindwa kuishi kule hata kwa mwezi mzima kwa gharama zangu na michango ya matibabu naenda kutoa. Roho ndogo kama hiyo muachie Magufuli mkuu, wewe hutakiwi kuwa nayo!
Kweli ndugu
 
Back
Top Bottom