Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

Hivi unategemea mtu kama Lema aliyesaidiwa kwa hali na mali na Tundu Lissu hadi akarejeshewa ubunge wake leo ashindwe kuishi Nairobi kwa gharama zake binafsi za kula kulala na kusafiri kwenda hospitali? Wala hashindwi! Yule kule Nairobi anaishi kwa gharama zake na vilevile mchango anatoa. Msigwa yeye alikuwa miongoni mwa wabunge wawili walioondoka na mgonjwa na hawezi kurudi yeye wala Mbowe mbali na kwamba wanatumia gharama zao binafsi.

Mimi mwenyewe naelekea huko na sitashindwa kuishi kule hata kwa mwezi mzima kwa gharama zangu na michango ya matibabu naenda kutoa. Roho ndogo kama hiyo muachie Magufuli mkuu, wewe hutakiwi kuwa nayo!
Kuna value addition inayopatikana kutokana na kuwepo kwq hao jamaa Nairobi? Kuna kitu kinafichwa si bure. Ukweli utajulikana. Tusubiri kidogo.
Pesa tulizochanga watanzania kumhudumia Lissu. Inasikitisha zaidi ya wabunge watano na wenza wao kumhudumia Lissu huo ughaibuni wakati familia yake ipo.
 
Asilimia kubwa ya watanzania uwezo wao wa kufikiri zaidi ulishazikwa na wengine uwezo wao umeondoka na makinikia... Pray for Lisu
 
umeskia wanakula kwa baba kama wewe wale? ni watu wenye uwezo, na kenya sio nchi ambayo inahitaji gharama kubwa sana kuishi kwa mtu alietoka Tanzania. Hizi maneno chafu chafu ndio zitaigeuza nchi mfano wa Libya...... mambo hayana msingi kabisa

Sent from my SM-A5100 using JamiiForums mobile app
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Mimi ndiye ninagarimia ulikuwaunasemaje?
 
Hizo gharama za safari zingesaidia kupunguza mzigo wa gharama za matibabu
Na hapo wewe hujatoa hata mia. Hao ni makamanda na ufahamu kuwa watu wasiojulikana bado watakuwa wanamuwinda. Hivyo watu hao kuwapo huko kuna maana kubwa mkuu.
 
Nimetumia akili nikaona ni vyema wangeitumia hiyo mishahara yao kuchangia matibabu na si kushinda wakipuyanga huko Ughaibuni
Sidhani kama ni sahihi kumpangia mtu matumizi ya pesa yake. Pia ukiangalia original comment ni kwamba mwandishi alidharau vipato vya wabunge na kuhisi wanakula michango na hio inaonyesha CHUKI binafsi dhidi ya wabunge wale

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Najua sio masikini lakini kwanini hizo fedha wasichangie kwenye matibabu kuliko kukaa huko Nairobi bila sababu ya msingi?
Kuna mkuu moja hapa kakujibu acha roho mbaya kama ya m/kiti wenu..kuwepo kwa hawa wabunge kule kunampa mgonjwa matumaini makubwa sana..na kujiona hayupo peke yake kwa hili!pesa ni kitu gani ..uhai ndo kitu cha msingi sana!Acheni roho mbaya. .nyinyi ndo Chandigarh cha watu wasiojulikana wanaolitesa taifa hili kwa sasa..Acheni wabunge wetu wamuuguze mtetezi wa kweli wa wanyonge!
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Mkuu unataka tundu lisu abaki na mkewe tu huko hosp?mmmmh hiikali
Mke ataweza kumudu kumuona mume wake akiwa ktk hali ile,hata mimi ningekuwa na uwezoo ningeenda muona mpendwa wetu
 
Anagharamia shangazi.yako
 
Kama wapo kwa gharama zao tatizo lako liko wapi?fanya kazi acha habari zisizo na maana sawa kamanda?usiwe kama mwanafisiem!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unataka tundu lisu abaki na mkewe tu huko hosp?mmmmh hiikali
Mke ataweza kumudu kumuona mume wake akiwa ktk hali ile,hata mimi ningekuwa na uwezoo ningeenda muona mpendwa wetu
Kwa nini wasipeane shift kila siku wao tu, au kuna jambo tusilolijua wao wanalijua? Ukiona muuguzi anamng'ang'ania mgonjwa ujue hataki siri zake zitangazwe zijulikane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
w
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
watu wasiojulikana
 
Tujue kwanza anayekugharamia wewe kuandika haya uliyopost maana wale ni wabunge wana posho na mishahara ambayo ni halali kwao pia ni wakulima wakubwa.
Jamaa anawashwa... si unajua matatizo ya kuwashwa kwa watu wenye jinsia mbili?
 
Back
Top Bottom