Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

Hahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
Mkuu, habari za majukumu!! Nakukumbusha tu comment hii

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: rr4
Hahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
Wajumbe wa Kigamboni wametafuta hatimaye wakampata.

Ila jamaa anauthubutu wa mambo yawe mazuri ama mabaya.

Kadiri anavyokuwa naamini ataimarika zaidi.
 
Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.

Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.

Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.picha zaidi za ukarabati huu ziko instagram page ya. QUALITY HOMES

View attachment 348618
Mkuu baada ya uzi huu sijakuona tena , ulitekwa ?
 
Back
Top Bottom