Kwani si kama kazi nyingine tu, naamini wewe unapiga biznez zako je hujawahi pata hasara!!?mimi nazungumzia watumiaji mkuu, hao wenye kampuni wameajiri ni kweli, ila hata nikiwa na cartel yangu ya kuuza contraband na madawa mbona nitaajiri tu, hata serikali nitaipa kickbacks za ku protect racket zangu
Ila point inabaki ina faida na madhara gani kwa watumiaji?? ndio ninachozungumzia hapa
but i wanted to
Hauna stake ya kubet teh teh ngoja tukuchangie ukatandaze mkeka..Vyote ni addictive na havina mwisho mzuri kwa mtumiaji...labda ushinde mara moja kisha uachane nao kabisa, kitu ambacho ni kigumu
mfanano wake ni kuwa ina mwisho mbaya kwa mtumiaji na ni addictive, so maybe umeshinda lakini kwa kuwa mchezo huu una uraibu kwa watumiaji na kampuni ndio yenye kushinda (in the long run) so ni majanga tu kwa mtejaKwani si kama kazi nyingine tu, naamini wewe unapiga biznez zako je hujawahi pata hasara!!?
Bet pia iko hivo na ni kazi halali kisheria. Kuna siku watubwa bet walitaka wanidhulum nikawa ambia tutafika hadi bodi lakin baadaye wakanipa. Lakin madawa ya kulvya ni kitu ingine kabsa waka hai muingizii consumer wa mwisho kabisa pesa, wakati bet ina muingizia hadi consumer wa mwisho pesa
Kila kitu kikizidishwa kina kuwa addictionmfanano wake ni kuwa ina mwisho mbaya kwa mtumiaji na ni addictive, so maybe umeshinda lakini kwa kuwa mchezo huu una uraibu kwa watumiaji na kampuni ndio yenye kushinda (in the long run) so ni majanga tu kwa mteja
Betting ipo regulted sana nchi nyingine, pia kuna hadi 'sober house' za gambling addicts, so nilikuwa nawapa watumiaji heads up
Betting inaweza kuwa na faida kwa upande mwingine wa shillingizote zina madhara mabaya kwa mtumiaji, ndio mfanano wake ulipo
Acha tu Mkuu usinikumbushe machungu ya haka kamchezoKwa watu walionizunguka wanaobet naona wapo soo addicted ni kaugonjwa flani aiseh nakamewala wengi sanaa
Ila mnavyohonga wadada sio dhambi mkeka ndo umeona zambi!!! Hali ngumu watu wamejiajiri kwenye mikeka....Kamari ni haramu ktk vitabu Vitakatifu. Wewe unaye bett hakika unamkosea Mungu pakubwa sana.
Hapo angalau Mkuu umenena haka kamchezo hakahitaji hasirabet for fun, ila sio kitega uchumi..kwa faida yako na faida ya taifa letu
i don't buy it..ni kweli kati ya watu wengi wachache wanaweza kushinda na kuanzisha mradi mdogo, na kama wasiporudia kucheza basi wana chance ya kufaulu maisha, ila hakuna mtu anayeshinda kiasi hicho cha fedha kila wikiBetting inaweza kuwa na faida kwa upande mwingine wa shillingi
Kuna watu nawajua wamenunua bajaji,bodaboda kwa betting
Kuna watu wanapiga pesa
Na wapo ambao wamekula hasara sana
Kusema moja kwa moja yana madhara unakosea
Kuna mtu anaitwa ticha betting migo kila wiki unasikia kala 3million,2,million ,5million
Sasa kwa huyu ticha unaweza sema anapata madhara kwahyo betting
nah, ku bet nisha bet, sababu ya udadisi tu ila mi ni kati ya watu wasioamini katika betting au kamari nyingine kama chanzo cha mapato, na kupoteza mara moja au mbili sio tatizo sana tatizo ni kushinda na kujiamini na kutokukubali kuacha ndio yenye madharaWe utakuwa ulibet stake kubwa umeliwa sasa unajidai kuiponda betting. Nakushauri pumzika tu kimya kimya
Betting mbona inaachika simple tu, sioni kama kuna tatizo mtu ukiamua kuacha. Sasa mbona unakiri ulishabeti na umeacha kwann unadhani wengine hawawezi kuacha?nah, ku bet nisha bet, sababu ya udadisi tu ila mi ni kati ya watu wasioamini katika betting au kamari nyingine kama chanzo cha mapato, na kupoteza mara moja au mbili sio tatizo sana tatizo ni kushinda na kujiamini na kutokukubali kuacha ndio yenye madhara
sio wote wanaweza kuacha, ninashuhudia wanachofanya ndio maana nikasemaBetting mbona inaachika simple tu, sioni kama kuna tatizo mtu ukiamua kuacha. Sasa mbona unakiri ulishabeti na umeacha kwann unadhani wengine hawawezi kuacha?
Kama unabet unakula kuacha itakuwa ngumu wewe najua uliacha baada ya kupokea vipigo mfululizosio wote wanaweza kuacha, ninashuhudia wanachofanya ndio maana nikasema
sigara, pombe, kamari , madawa vina addict watu kwa viwango tofauti wanapotumia