Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,091
Kwani si kama kazi nyingine tu, naamini wewe unapiga biznez zako je hujawahi pata hasara!!?mimi nazungumzia watumiaji mkuu, hao wenye kampuni wameajiri ni kweli, ila hata nikiwa na cartel yangu ya kuuza contraband na madawa mbona nitaajiri tu, hata serikali nitaipa kickbacks za ku protect racket zangu
Ila point inabaki ina faida na madhara gani kwa watumiaji?? ndio ninachozungumzia hapa
Bet pia iko hivo na ni kazi halali kisheria. Kuna siku watubwa bet walitaka wanidhulum nikawa ambia tutafika hadi bodi lakin baadaye wakanipa. Lakin madawa ya kulvya ni kitu ingine kabsa waka hai muingizii consumer wa mwisho kabisa pesa, wakati bet ina muingizia hadi consumer wa mwisho pesa