Namibia yafanya ugunduzi mkubwa wa mafuta wa zaidi ya Mapipa Bilioni 10. Yajiandaa kujiunga na OPEC

katika swala zima la kunufaika na rasilimali za taifa,,, africa itabaki kuwa africa....
hakuna jipya lolote la kimaendeleo utalisikia hapo namibia.
 
Mzungu amegundua ndiyo inamfanya hayo mafuta yawe yake?Kwa nini asingeenda kugundua kwao Ureno?Hongera kwao Namibia kwa ugunduzi huo.
sio amegundua bhana,,, yani kitu kipo nyumbani kwangu miaka na miaka wew unakuja unasema ndo umekigundua!!!???? Sema amekua wa kwanza kuyaona.
 
Sio kweli, Namibia hamna waislam na kama wapo ni wa kutafuta kwa tochi sasa watawezaje kufanya ugaidi na hata jirani yao Angola hatusikii hayo mambo ya ugaidi.
congo ni nchi ya kiislamu mzee?
 
Ss hv utaskia makundi ya kigaidi yanaisumbua Namibia
Na nyuma ya magaidi lazima atakuwa mzungu ili kutuvuruga tu
Hilo linajulikana sana
Gaidi masikini sijui anapata wapi silaha kali hivyo bila kuwa na mfafhili
Itatuchukua miaka mingi kugundua haya
 
Tanzania mbona kuna rasilimali tele na hatuoni hayo. Acheni kusingizia rasilimali, Rwanda, Burundi, Somalia nk kumekuwa na vurugu kibao na sijui kuna rasilimali gani kwenye hizo nchi.

Za Tanzania tumewakabidhi waliowekeza ziwe zao...
 
Kidogo namibia viongozi wao wanauchungu na nchi yao pia ile nchi iba watu wachache sana hayo mafuta yatabadilisha sana maisha yao
 
Kuna cha kujifunza pia, magaidi wa ADF wanaungwa mkono na Rwanda ambayo pia inaungwa mkono na Marekani.
ADF wanaungwa mkono na Isis tu ila Rwanda wanawaunga mkono wale waasi wa M-23. Acha kukariri mambo ya kwenye vijiwe.
 
Kidogo namibia viongozi wao wanauchungu na nchi yao pia ile nchi iba watu wachache sana hayo mafuta yatabadilisha sana maisha yao
Sio uchache wa watu ila swala muhimu ni umakini wa viongozi.

Equatorial Guinea iko pale na mafuta kibao na watu hawazidi hata milioni mbili na nusu lakini wako choka mbaya huku rais wao wa maisha dikteta Theodoro Obiang Nguema Mbassongo akitesa na familia yake.
 
Wazungu wanatujua kutuvuruga, wanafadhili vitu ambavyo huwezi kuamini na wanavyojiweka kama hawajui kitu kumbe wanatuchora tu.
Na nyuma ya magaidi lazima atakuwa mzungu ili kutuvuruga tu
Hilo linajulikana sana
Gaidi masikini sijui anapata wapi silaha kali hivyo bila kuwa na mfafhili
Itatuchukua miaka mingi kugundua haya
 
Wazungu wanatujua kutuvuruga, wanafadhili vitu ambavyo huwezi kuamini na wanavyojiweka kama hawajui kitu kumbe wanatuchora tu.
Ukiwaza mbinu zao za utafutaji utashangaa sana
Naona hata yale ya Iran/Israel ni mbinu za wazungu kuwakamua waarabu hela wakisema tukifungulia mbwa mtaumia sana
Kwa hiyo ongezeni dau tuweke manuwari nyingi Saudia na UAE ili tuwalinde kote kote
Nakumbuka tangu enzi za Saddam wazungu walijua kuwarubuni waarabu kwa kuwatoza $3m kwa siku kuwachunga kuanzia anga, maji na ardhini
 
Back
Top Bottom