co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,436
- 2,200
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba anafikaje 29 bila mtoto?? Sasa yamenikuta 29 naiona hiyo sina mtoto.Jamani msitukane mamba kabla hamjavuka mto