Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,064
- 35,190
KUNA WATU TUNAWAJUWA KWA MAJINA YAO HALISI.....LAKINI NI WAONGO BALAAAAA............. to me kujitambulisha kwa jina unaloliita halisi does not make any difference.................Anyway KARIBU WA NYHUMBHANII............ ILA TU ANGALIA .........isije ikatokea wakati nakupigia simu uanze kutaja vyoooteee vya gharama ulivyonavyo.............maana hamkawiii.........UTAWASIKIA..........actually wakati unanipigia kwenye ile blackberry yangu nilikuwa kwenye laptop yangu ile ya pentium M na tena huku vogue yangu ilikuwa inakataa kuwaka hivyo nikaamua kuwasha benzi yangu kwa remote iliyokuwa imepaki ndani ya ghorofa yangu niliyoijenga kule masaki kwa Dola ka kimarekani milioni moja kasolo hivi............Mimi naitwa Mathias BYABATO Nimeamua kujiunga rasmi na jukwaa kwa kutumia jina langu kabisa
lengo ni kutaka kuaminiwa kwa yale nitaklayokuwa nikitoa bila kificho.
punde avantor yangu itakuwa na piicha yangu ,simu nk
asante