Nahodha wa Namungo ahoji maamuzi ya Refa, ataka hatua dhidi ya Waamuzi

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
22,233
39,236
Jacob Masawe, Nahodha wa timu ya Namungo akihojiwa baada ya mchezo amesema alikwenda kumuuliza refa Smart "mchezaji wake" (Derick Mukombozi) kafanya kosa gani lililopelekea kupewa Kadi nyekundu ya moja kwa moja? Anasema refa alimjibu kampiga ATEBA.

Hapa tuwe wakweli kama sababu ni hiyo basi tuone Kamati ya waamuzi ikichukua hatua dhidi ya Mwamuzi. Kwa sababu kitendo cha mchezaji wa timu inayozuia kufanya madhambi dhidi ya mchezaji wa timu inayoshambulia ndani ya eneo la 18 mbali ya Kadi ilitakiwa kutolewa penati dhidi ya timu ya mchezaji aliyempiga mwenzake.

Kama hili halikufanyika na mbali ya marudio ya TV kitendo anachosema refa hakikuonekana mpaka baadhi ya wachambuzi wakaanza kubuni kwamba Mukombozi alimtukana refa (Shafii Dauda) na wengine alimtia dole ATEBA kitendo ambacho hakijaonekana kwenye picha Mjongeo zaidi ya Wachezaji hao kusukumana wakati Kona ikipigwa.

Mbali ya tukio la Jana bado ni Wazi waamuzi limekuwa janga katika Mechi zote na si ya Jana pekee. Wakati Mambo mengine yakiboreshwa ili ligi iwe Bora zaidi hili la Waamuzi lilisahaulika kuboreshwa.
 
IMG-20250219-WA0093.jpg
 
Tatizo camera za Azam zimeshindwa kuonyesha Nini kilitokea na hii inasababishwa na wao kupeleka camera chache mechi za mkoani Kila mmoja atabaki kukisua Nini kilitokea.
Duh ushabiki umekuzidi mtani, camera zimeonesha vizuri kabisa hakuna tukio lolote la mchezaji kupewa red card hii ni mipango tu ya simba kuhonga marefa, na kombe halitaenda msimbazi kwa dhulma hizi za wazi zinazoharibu taswira ya ligi yetu, kabla hatujasahau fountain gate na jana tena bila aibu refa kaharibu mechi ili simba ishinde, huu ni ukweli mchungu mipango ya simba itafeli tu
 
Unalosema ni sahihi kabisa. Mechi za mikoani Mpira ukiwa upande wa mashariki ya uwanja huwezi Kutambua mchezaji Kwa sura maana kamera inayotumika ni Ile iliyoko upande wa jukwaa Kuu ambalo liko magharibi.
 
Cc Kipara Kipya wewe ni mtabiri hakika nimeamini asubuhi sana kabla kuku hajanya ulituambia tutaenda kushuhudia soka safi lisilokua na mawaaa na kweli tumeona soka safi mno na muamuzi akiwa ni mwenye haki sana..Hata baada ya kuona mshambuliaji hatari Ateba akipigwa makonde yasiyokua na idadi kutoka kwa Mukombozi hakusita kutoa kadi nyekundu pasipo kusitasita kweli hii ligi inastahili kua ligi bora Afrika.
 
Shetani njano anasema shetani mwekundu,Wengine wanahonga timu pinzani wengine wanahonga marefaree.Yanga na Simba kubalini kila timu lazima ifungwe.
 
Tatizo camera za Azam zimeshindwa kuonyesha Nini kilitokea na hii inasababishwa na wao kupeleka camera chache mechi za mkoani Kila mmoja atabaki kukisua Nini kilitokea.
Sio camera chache

Wao camera wanaweka juu ya gorofa jengo la sewa haji pale muhimbili kurekodi matukio ya kwa mkapa kurekodi kinachoendelea ndani ya uwanja

Wanajiposition utadhani ni masniper kumbe camera man

1739993717913.jpg
 
Duh ushabiki umekuzidi mtani, camera zimeonesha vizuri kabisa hakuna tukio lolote la mchezaji kupewa red card hii ni mipango tu ya simba kuhonga marefa, na kombe halitaenda msimbazi kwa dhulma hizi za wazi zinazoharibu taswira ya ligi yetu, kabla hatujasahau fountain gate na jana tena bila aibu refa kaharibu mechi ili simba ishinde, huu ni ukweli mchungu mipango ya simba itafeli tu
Unajaribu kubalance mambo na upuuzi mliofanya na Singida. Camera zilihama kuonyesha maamuzi anarudia na kumwonyesha red card mchezaji wa Namungo lakini Azam walishindwa kutuonyesha kitu gani kilitokea.
 
Walionesha mara nyingi tu wewe una matatizo ya kuona.
 
Jacob Masawe, Nahodha wa timu ya Namungo akihojiwa baada ya mchezo amesema alikwenda kumuuliza refa Smart "mchezaji wake" (Derick Mukombozi) kafanya kosa gani lililopelekea kupewa Kadi nyekundu ya moja kwa moja? Anasema refa alimjibu kampiga ATEBA.

Hapa tuwe wakweli kama sababu ni hiyo basi tuone Kamati ya waamuzi ikichukua hatua dhidi ya Mwamuzi. Kwa sababu kitendo cha mchezaji wa timu inayozuia kufanya madhambi dhidi ya mchezaji wa timu inayoshambulia ndani ya eneo la 18 mbali ya Kadi ilitakiwa kutolewa penati dhidi ya timu ya mchezaji aliyempiga mwenzake.

Kama hili halikufanyika na mbali ya marudio ya TV kitendo anachosema refa hakikuonekana mpaka baadhi ya wachambuzi wakaanza kubuni kwamba Mukombozi alimtukana refa (Shafii Dauda) na wengine alimtia dole ATEBA kitendo ambacho hakijaonekana kwenye picha Mjongeo zaidi ya Wachezaji hao kusukumana wakati Kona ikipigwa.

Mbali ya tukio la Jana bado ni Wazi waamuzi limekuwa janga katika Mechi zote na si ya Jana pekee. Wakati Mambo mengine yakiboreshwa ili ligi iwe Bora zaidi hili la Waamuzi lilisahaulika kuboreshwa.
Waamuzi wengi ni die hard fans wa hivi vilabu vya kariakoo Simba na Yanga, Hilo liko wazi
 
MSISUBIRI Hawa wanakuja na marlekexo malizaneni uwanjan kama mwasika stephane
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    11.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20250220-153922.jpg
    Screenshot_20250220-153922.jpg
    363.2 KB · Views: 3
  • hqdefault.jpg
    hqdefault.jpg
    17.6 KB · Views: 1
  • kimeo.jpg
    kimeo.jpg
    25.6 KB · Views: 2
  • images.jpeg
    images.jpeg
    12.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153918.jpg
    Screenshot_20250220-153918.jpg
    383.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250220-153911.jpg
    Screenshot_20250220-153911.jpg
    262.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153720.jpg
    Screenshot_20250220-153720.jpg
    298.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250220-153750.jpg
    Screenshot_20250220-153750.jpg
    286.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250220-153656.jpg
    Screenshot_20250220-153656.jpg
    330.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250220-153702.jpg
    Screenshot_20250220-153702.jpg
    351.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153717.jpg
    Screenshot_20250220-153717.jpg
    308.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153653.jpg
    Screenshot_20250220-153653.jpg
    316.6 KB · Views: 1
Baadhi ya waamuzi wanachezesha mechi wakiwa wamepiga visungura, chang'aa plus mnazi! Siyo kwa mauza uza haya 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom