Nahisi nimeshapigwa ebay baada ya kufanya manunuzi

mzigo haujapotea utakuwa uko njiani huyo ana positive feedback ya 97.6 hii ndiyo muhimu ina maana ni muaminifu 100 percent
Nilinunu kwa wauzaji wawili tofauti, mmoja tayari nimeambiwa umeshakuwa shipped ila wa huyu bado haujatumwa kabisa
 
Muuzuji mbona ratings zake ziko vizuri ondoa wasiwasi kabisa, tangu nimeanza kununua vitu ebay sijwahi kutapeliwa
Screenshot_2016-05-12-17-09-33.png
poa mkuu wacha nimsubirie atafute hiyo nguo naona aliishiwa mzigo
 
Mi nilishanunua Saa ilikuwa ni free shipping. Ikachukua miezi 2, nikawandikia sjapata mzigo wangu wakatuma nyingine hivyo kuwa na subira mkuu hakuna upigaji huko labda asilimia 1
 
8d94730b8edfede9075a465d5c2e59cc.jpg

Resolution center ya Ebay iko very smart.Mi nimeagiza mzigo tokea tar 21 Mar hadi leo haujafika despite kumchek seller mara kadhaa anasema alishaship itakuwa ni delays zinatokana na hizi local postal agents au mlolongo wa clearance kwenye customs.
Ila jana seller kaamua kuni-refund lkn kanisisitiza kama mzigo utafika itabidi niwe honest nirudishe hela tena.
You can see by yourself how professional this is.
 
kaka mbona hata masaa 48 hayajaisha unakuwa na waswas.. mi nina mwakanwa nne nanunua vitu ebay na amazon.. cha kwanza anaangalia uhalal wa muuzaj na ebay na amazon wanalinda maslah ya mnynuz kuliko muuzaj so kama hajatuma hiyo pesa yako inarudishwa

mara ya mwisho nimenunu. tablet mwez wa pil na vikolokolo vyenye thamana ya dola 500 na nimepokea vyote

kitu pekee kinachoniumiza unatakiwa uwe nacho makin ni kuwa addicted na online shopping.. mi nimekuwa addicted had kwy holder nanunua online nahitaj ushaur nasaha kwa kwel

Samahani mkuu unaweza ukaniagizia kioo cha iphone 5s kutoka huko duniani.....?? Inaweza kugharimu kiasi gani hadi kikifika hapa...??
25e5a1521804f7716a106840117bf3af.jpg
 
kaka mbona hata masaa 48 hayajaisha unakuwa na waswas.. mi nina mwakanwa nne nanunua vitu ebay na amazon.. cha kwanza anaangalia uhalal wa muuzaj na ebay na amazon wanalinda maslah ya mnynuz kuliko muuzaj so kama hajatuma hiyo pesa yako inarudishwa

mara ya mwisho nimenunu. tablet mwez wa pil na vikolokolo vyenye thamana ya dola 500 na nimepokea vyote

kitu pekee kinachoniumiza unatakiwa uwe nacho makin ni kuwa addicted na online shopping.. mi nimekuwa addicted had kwy holder nanunua online nahitaj ushaur nasaha kwa kwel

mkuu msaada wako plz kuna kitu nataka uninunulie ntakutoa na chajuu kabisa. PM me
 
mzigo utatumwa tu- EBAY of late hawataki mchezo na wababaisha-hence wana verification procedures na controls ambazo mbabaishaji hawezi overide
kwa hiyo jackline wataka uniambie kama ni tapeli ebay watahusika kumsaka huyo mtu? na pia hela yangu nitarudishiwa?? nahitaji nifahamu ebay ni akina nani na makazi yao ni wapi. ili niwe najiachia nijimwage tuu.
 
Hapana, kuwa na subira. Umetumia kiasi gani kufanya manunuzi kwa huyo muuzaji? Mara nyingi huwa kuna shida ya order, pengine naye anahangaika kutafuta kwa wauzaji then afanye shipping. Kumbuka haendi mwenyewe hapo, anapiga simu na kuorder pia. Nilishafanya hivyo, nilinunua nguo fulani ebay, ilichukua muda mrefu sana kupata mzigo kumbe mtu aliyekuwa anashughulikia alikuwa Sweden na mzigo wenyewe ulipatikana Singapore. Kwa hiyo hapo unaweza kukuta yeye yuko ulaya, anatafuta sehemu mzigo unapopatikana karibu na ulipo kusave shipping cost etc.
Ww upo sawa. Kijana anatikiwa kuwa na subira, aache papara kama vile ndio mara ya kwanza kununua bidhaa mtandaoni. Mm kwa uzoefu wangu nishafanya manunuzi ebay na amazon na bidhaa nilipata pamoja ns changamoto zinazoweza kujitokeza kama vile kuchelewa kufanya shiping au kuchelewa kufika mzigo ni jambo la kawaida kabisa.
 
Mi nilishanunua Saa ilikuwa ni free shipping. Ikachukua miezi 2, nikawandikia sjapata mzigo wangu wakatuma nyingine hivyo kuwa na subira mkuu hakuna upigaji huko labda asilimia 1
Mimi nilinunua kitabu amazoni nikasubiri mwezi mmoja na wiki mbili hivi bila kupata, nilivowaandikia walinitumia upya na nikapata ndani ya wiki moja. Kinachotakiwa ni mkuu awe na subira ebay na amazon ni maduka ya kimataifa hakuna wizi wa hovyo hovyo.
 
Tatizo la purchasing on eBay fake dealers ni wengi, sijuwi kama hii tahadhari mnachukua kabla ya kufanya maamuzi.
eBay wana customer support ambayo ni very reliable. Ukinunua kitu na ukalipa through eBay usipopata parcel yako uki claim kwao muuzaji anakuwa commanded to payback your money. I think it's safe shopping on eBay.
 
8d94730b8edfede9075a465d5c2e59cc.jpg

Resolution center ya Ebay iko very smart.Mi nimeagiza mzigo tokea tar 21 Mar hadi leo haujafika despite kumchek seller mara kadhaa anasema alishaship itakuwa ni delays zinatokana na hizi local postal agents au mlolongo wa clearance kwenye customs.
Ila jana seller kaamua kuni-refund lkn kanisisitiza kama mzigo utafika itabidi niwe honest nirudishe hela tena.
You can see by yourself how professional this is.
Mkuu umefanya haraka mno kama ulitumia standard international shiping ni vyema ungekuwa na subira kwa muda wa siku 31 ndio uanze malalamiko. Sellers wakiona wateja kutoka nchi fulani ni walalamishi sana huwa wanaacha kuuza na kutuma mizigo kutoka nchi husika. Wauzaji wengi hawatumi mizigo Nigeria kwasababu wanunuzi walikuwa matapeli sana. Anyway tuwe tunavuta subira ata least 31 days kutegemeana na shiping method inayotumika.
Halafu ifahamike pia kuwa kuna buyer rating, wauzaji wakikupa rating ndogo ujue nawewe utashindwa kununua coz wauzaji hawatakuamini kutokana na feedback yako kuwa ndogo. Ni ushauri tu mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom