Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,479
- 9,865
Usha sema mkewangu sasa shida nnWewe ndio unapenda mteremmko kumendea pesa za mkeo
Hii taito huwezi kuipenda.
Usha sema mkewangu sasa shida nnWewe ndio unapenda mteremmko kumendea pesa za mkeo
Hii taito huwezi kuipenda.
Wapenda mteremko mko wengiKila mtu atumie akili yake kuishi vizuri na mke wake TUSITISHANE bhana, ukiwa na akili ndogo utashindwa kummudu mkeo.
Umeoa dogo ?Tumekuwa tukiwafundisha kila siku, japo mmekuwa wagumu kuelewa lakini hatutachoka kuwaelimisha. Tunaamini mtaelewa kidogo kidogo.
kama wewe umeo na una mke let say ana kazi au biashara au shughuli yoyote inayomwingizia kipato basi acha kutolea macho pesa za mkeo.
kama hutaki shida na migogoro usizitazame wala kuzitamani hazikuhusu.
ukiona umefulia au una shida na hela pambana kivingine. Kama unataka vita basi jaribu kunyemelea pesa za mkeo.
Jirani yangu amenisimulia leo jioni. Wiki iliyopita alikuwa anamalizia mjengo wake wa familia. Then pesa ikakata ghafla akabakiwa pungufu kama milioni tano hivi.
jamaa alikuwa anajua Mke wake ana milioni 10 plus kwenye account.
basi akampigia simu Mpenzi wake Mkewe akitaka ajikwamue ili amalizie kabisa nyumba tayari kwa kuhamia au hata kupangisha.
MKe wake akamwambia hiyo nyumba si yake ni ya familia so Jamaa apambane kivyake.
mshikahi kaja ananisimulia anataka kulia machozi baada ya kugundua Pesa za Mke wake anafanyia ujenzi nyumbani kwao.
nimejaribu kumwelewesha aache ushamba pesa za mke sio za familia.
nimemfundisha kwa Lugha ngumu awe mwanaume wa shoka.
nitaendelea kuwaelimisha wanaume wenzagu hasa wale mnaong'ang'ania kuoa wenye kazi mkidhani watawasaidia majukum. You get disaappointed in future.
umuoe kwa sababu unampenda ila si vinginevyo.
Weekend Njema
Nimeoa nina watoto wanne na miaka 14 kwenye ndoaUmeoa dogo ?
NanukuuTumekuwa tukiwafundisha kila siku, japo mmekuwa wagumu kuelewa lakini hatutachoka kuwaelimisha. Tunaamini mtaelewa kidogo kidogo.
kama wewe umeo na una mke let say ana kazi au biashara au shughuli yoyote inayomwingizia kipato basi acha kutolea macho pesa za mkeo.
kama hutaki shida na migogoro usizitazame wala kuzitamani hazikuhusu.
ukiona umefulia au una shida na hela pambana kivingine. Kama unataka vita basi jaribu kunyemelea pesa za mkeo.
Jirani yangu amenisimulia leo jioni. Wiki iliyopita alikuwa anamalizia mjengo wake wa familia. Then pesa ikakata ghafla akabakiwa pungufu kama milioni tano hivi.
jamaa alikuwa anajua Mke wake ana milioni 10 plus kwenye account.
basi akampigia simu Mpenzi wake Mkewe akitaka ajikwamue ili amalizie kabisa nyumba tayari kwa kuhamia au hata kupangisha.
MKe wake akamwambia hiyo nyumba si yake ni ya familia so Jamaa apambane kivyake.
mshikahi kaja ananisimulia anataka kulia machozi baada ya kugundua Pesa za Mke wake anafanyia ujenzi nyumbani kwao.
nimejaribu kumwelewesha aache ushamba pesa za mke sio za familia.
nimemfundisha kwa Lugha ngumu awe mwanaume wa shoka.
nitaendelea kuwaelimisha wanaume wenzagu hasa wale mnaong'ang'ania kuoa wenye kazi mkidhani watawasaidia majukum. You get disaappointed in future.
umuoe kwa sababu unampenda ila si vinginevyo.
Weekend Njema
Wewe sema tu unanyemelea pesa za MkeoNanukuu
"""MKe wake akamwambia hiyo nyumba si yake ni ya familia so Jamaa apambane kivyake"""
sisi wengine familia zetu na Koo zetu zimesha pevuka/ zilishapevuka Mali Ni za mume na mke na hakuna nguchiro awaye YEYOTE yule atakae kuja kudai hata kijiko..
mke wa jamaa Ni mbinafsi na hafai kabisa Mimi na mke wangu ni wamoja ASANTE SANA mwenyezi Mungu kunipa huyu mmama 😊
Mama yako alikuwa ana mfichia hela baba yako na alikuwa mbinafsi kupindukia kama hizi malaya unazo zisifia hapa ?Nimeoa nina watoto wanne na miaka 14 kwenye ndoa
Wake za watu wewe unapata ujasiri gani kuita Matakataka?Mama yako alikuwa ana mfichia hela baba yako na alikuwa mbinafsi kupindukia kama hizi malaya unazo zisifia hapa ?
Hivi haya matakataka ya Leo madogo mnayoita mke huwa mnaya okotea wapi ?
Ana tofauti gani na takataka huyo unaye muita mkeo ? Tena sio takataka malaya nafikiri itamfaaWake za watu wewe unapata ujasiri gani kuita Matakataka?
Tupo hapa na wife tuna angalia TV Imani tamthilia ya mateso ya yesu KRISTOWewe sema tu unanyemelea pesa za Mkeo
TV imani ya Morogoro Muslim ndio inonesha Mateso ya Yesu?Tupo hapa na wife tuna angalia TV Imani tamthilia ya mateso ya yesu KRISTO
Hahaha sina mke wa hivyo mimi. Sina Malaya mbona unataka kubadilisha Mada kwa lazima?Ana tofauti gani na takataka huyo unaye muita mkeo ? Tena sio takataka malaya nafikiri itamfaa
Mwanamke mbinafsi kupindukia ni malaya anaweka maslahi yake binafsi mbele.
It make sense somehowMke inabidi aelewe Ndoa ni taasisi. Haiwezekani kila mmoja akawa anafanya kivyakevyake hio sio Ndoa ni watu tu mmekutana mnaitana mke na mume.
Kama ni Ndoa kweli hakuna Cha mke peke yake Wala mume peke yake. Baada ya kukaa Muda mrefu mke Mjinga Ndio anakuja kujua hili. Unajenga kwenu kwa hiyo na mama wa huyo mke nae anajenga kwao?
Kwangu mimi kama unatumia Muda wa familia kutafuta fedha hiyo fedha ni ya familia na kama sio ya familia itakupasa ukae nyumbani ulee watoto.
Tumesacrifice watoto wakae na dada wa kazi ili wewe pia ukatafute kwaajili ya familia huwezi kuleta chochote kaa Lea watoto mume ataleta mahitaji yote.
😊 Nilitaka nione Kama Kuna watu makini 😅😂TV imani ya Morogoro Muslim ndio inonesha Mateso ya Yesu?
Au una glass za Dhahabu hapo mezani mkuu?
Ni kwamba hujapenda nilicho andika ila huyo mwanamke unaye muita mkeo ni malaya kwa hiki ulicho andika hapa juu ya wanawake.Hahaha sina mke wa hivyo mimi. Sina Malaya mbona unataka kubadilisha Mada kwa lazima?
Hatufi......hata siku moja.Endeleeni kujikaza muwahi kufa mtuachie sisi hao wanawake.