Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 20,665
- 38,154
Tumekuwa tukiwafundisha kila siku, japo mmekuwa wagumu kuelewa lakini hatutachoka kuwaelimisha. Tunaamini mtaelewa kidogo kidogo.
kama wewe umeo na una mke let say ana kazi au biashara au shughuli yoyote inayomwingizia kipato basi acha kutolea macho pesa za mkeo.
kama hutaki shida na migogoro usizitazame wala kuzitamani hazikuhusu.
ukiona umefulia au una shida na hela pambana kivingine. Kama unataka vita basi jaribu kunyemelea pesa za mkeo.
Jirani yangu amenisimulia leo jioni. Wiki iliyopita alikuwa anamalizia mjengo wake wa familia. Then pesa ikakata ghafla akabakiwa pungufu kama milioni tano hivi.
jamaa alikuwa anajua Mke wake ana milioni 10 plus kwenye account.
basi akampigia simu Mpenzi wake Mkewe akitaka ajikwamue ili amalizie kabisa nyumba tayari kwa kuhamia au hata kupangisha.
MKe wake akamwambia hiyo nyumba si yake ni ya familia so Jamaa apambane kivyake.
mshikahi kaja ananisimulia anataka kulia machozi baada ya kugundua Pesa za Mke wake anafanyia ujenzi nyumbani kwao.
nimejaribu kumwelewesha aache ushamba pesa za mke sio za familia.
nimemfundisha kwa Lugha ngumu awe mwanaume wa shoka.
nitaendelea kuwaelimisha wanaume wenzagu hasa wale mnaong'ang'ania kuoa wenye kazi mkidhani watawasaidia majukum. You get disaappointed in future.
umuoe kwa sababu unampenda ila si vinginevyo.
Weekend Njema