Mzee Duni Haji: Kwa mara ya kwanza ndio nimeshuhudia Mkutano wa Siasa Meza kuu Wamejaa Maaskofu, Mapadre na Wachungaji, CHADEMA ni Wadini!!

Duni haji kajichokea anahitaji huruma tu.

Sasa kama mwinyi alikuwepo hawakusema vipi aseme ni wadini.

Wajikite kwenye vifungu vya mkataba waache kubwabwaja.

Wenzao ccm vita ya udini iliwashinda wao wataweza?
Amesema Bandari sio suala la muungano kwa hiyo hawezi jadili
 
huyo mzee duni anapaswa kuelewa wasukuma ni kabila kubwa sana nchi hii na hilo genge lake la kiislamu linaloitwa Act anapaswa kujua kuwa wabunge wengi wanatoka usumumani hata mgombea urais hawezi kushinda bila kuwin usukumani sasa aendelew na ujinga wake anafikir kujaza mkutano kibanda maiti ndio kushinda urais, lizee pumbavu kweli nilikuwa naliheshim kumbe ni pumbavu tu.
Sasa mbona hujaonyesha huo ujinga wake unaporoja tu
 
Mkataba wa Bandari utagawa sana umoja,naona kuna fungu kubwa sana la kutetea ambalo lipo kwa wadini wa ACT- hutoona hata ACT mmoja akikosoa mkataba wa Bandari.

Watawala nao wameona wapitie kwenye wiga wa dini kua anapibgwa kwa sababu ya hijabu yake.

Haya yalifanywa enzi za Kikwete,pale wakina Lipumba,Zitto walipoungana na CCM!!

Rais Samia angetambua kua hakuwahi kuchaguliwa na Watanzania kwa hijabu yake na wala uchaguzi ukija akagombea watu hawatoangalia dini na mavazi yake,bali utendaji wake na uzalendo wake.

Vyema angekemea haya yanayokuja ya kuingiza udini!!
Hapo wala hakuna udini wowote alichokisema ndio ukweli wenyewe
 
Hakika,hata jina lako linaakisi unachokifanya!!

Wakati Duni Haji yupo CHADEMA anahombea na Lowasa dhidi ya mkirsto Magufuli hatukusikia mkisema CHADEMA wanaguzi wa dini,Leo raisi muislamu,ngawira za udinini zinafanya kazi
 
Babu Duni kuwepo Chadema alifuata cheo tu walivyo Wazanzibari wengi CCM, Wazanzibari wote ni Zambarau kwa damu.
Hata huyo dada yake.
 
Hakika,hata jina lako linaakisi unachokifanya!!

Wakati Duni Haji yupo CHADEMA anahombea na Lowasa dhidi ya mkirsto Magufuli hatukusikia mkisema CHADEMA wanaguzi wa dini,Leo raisi muislamu,ngawira za udinini zinafanya kazi
Yeye amesema hajawahi kuona mkutano kama ule meza kuu kujaa maskofu sasa hao maaskofu sii walikuwepo kweli
 
Mgombea mwenza wa uRais wa Chadema mwaka 2015 Mzee Duni Haji anesema kwa mara ya kwanza tangu azaliwe ndio ameona Kwenye mkutano wa Kisiasa pale Temeke meza kuu Wamejaa Maaskofu Mapadre na Wachungaji

Mzee Duni Haji ambaye alijiondoa Chadema na kujiunga ACT wazalendo anesema Chadema kuna Udini, Ukabila na Unafiki uliokithiri ndio Sababu kila Siku utawasikia Rais ni Mzanzibari ilhali alikuwepo Mwinyi hawakusema Rais ni Mzaramo, alikuwepo Mkapa hawakusema Rais ni Mmawia na alikuwepo Kikwete wala hawakusema Rais ni Mkwere

Yule Magufuli aliitwa Msukuma na Wasukuma wenzake kutukuza kabila lao tu, amemalizia Mzee Duni Haji

Chanzo: ACT wazalendo TV

Mungu wa Mbinguni awabariki😀
we mbwa utahangaika km mwanamke anayetaka kujifungua usiku na mchana hamtafanikiwa na hao wahuni wenu. Washenzi tu nyie mmejaa ubaguzi na chuki, hivyo vitu havina nafasi ktk nchi yetu pendwa.
 
we ulivyo mpumbavu nashangaa kwanini babako hakuvaa condom lisizaliwe lipuuzi km wewe, nyau km wewe unahangaika usiku na mchana na post za hovyo zilizojaa chuki, ubaguzi, umeeonja utamu wa ubaguzi siyo? Yule shetani wenu amekufa utaishia kufa na pressure we mbwa.
 
mimi mkristo lakini maaskofu ni wadini sana, ni watu wabaguzi sana. Rais akiwa muislamu watamsumbua sana hata Kikwete ilikuwa kila mara ni waraka wa kanisa. Washenzi sana, km unafikiri wanampenda mtu kuliko maslahi yao nenda kafanye kazi kwenye taasisi zao utaishia kuwa maskini yote. Mshahara utakaoanza nao ndio utamaliza nao miaka zaidi hata ya 30. Hakuna cha pensheni, wakwepaji wa kodi za serikali. Angalia maisha yao, wanaishi maisha ya anasa balaa. Ila dini hizi ni kwa maslahi ya kikundi cha wajanja kula mema ya nchi. Kitu muhimu tuisaidie serikali yeetu ndio itakayotusaidia siyo viongozi wa dini. Issue ya bandari wameikomalia kwasababu zinazojulikana, wamekuwa wakiingiza mali zao bila kulipa kodi stahiki, washenzi tu hao. Mama yetu awe imara asiwajali hao wachumia tumbo asonge mbele.
Hata Mimi ni mkristo lakini chuki Kwa viongozi wa Kiislamu imezidi na chuki isiyo na msingi.

Mwendazake alikuwa anashinda makanisani lakini sikuona Waislamu wakilalamika.

Mara nyingi nimefanya observation ya trend ya Viongozi Wakiwa Waislamu lazima Wakristo na hasa Wa RC Huwa wanaanza kuleta chokochoko za kuyumbisha na kuwa provoke Waislamu.

Hii tabia inanikera sana ikizingatiwa Waislamu Huwa wanatuletea nafuu ya maisha na Wana sense of utu kuliko hao wengine makatili na wasiojali.
 
we mbwa utahangaika km mwanamke anayetaka kujifungua usiku na mchana hamtafanikiwa na hao wahuni wenu. Washenzi tu nyie mmejaa ubaguzi na chuki, hivyo vitu havina nafasi ktk nchi yetu pendwa.
Nimekusoma hapo Juu kwamba Umeshabatizwa sasa Kiti moto hutajifichaficha tena

Nguruwe hajawahi kuwaacha mujahideen salama dadeki ni ubatizo tu wa maji mengi Kafir wahed!😂😂🔥🔥🔥
 
Mgombea mwenza wa uRais wa Chadema mwaka 2015 Mzee Duni Haji anesema kwa mara ya kwanza tangu azaliwe ndio ameona Kwenye mkutano wa Kisiasa pale Temeke meza kuu Wamejaa Maaskofu Mapadre na Wachungaji

Mzee Duni Haji ambaye alijiondoa Chadema na kujiunga ACT wazalendo anesema Chadema kuna Udini, Ukabila na Unafiki uliokithiri ndio Sababu kila Siku utawasikia Rais ni Mzanzibari ilhali alikuwepo Mwinyi hawakusema Rais ni Mzaramo, alikuwepo Mkapa hawakusema Rais ni Mmawia na alikuwepo Kikwete wala hawakusema Rais ni Mkwere

Yule Magufuli aliitwa Msukuma na Wasukuma wenzake kutukuza kabila lao tu, amemalizia Mzee Duni Haji

Chanzo: ACT wazalendo TV

Mungu wa Mbinguni awabariki😀
Mzee Duni amesahau?

Uamsho Zanzibar ni masheikh lakini walipoanza kujazana majukwaa ya siasa wakashikwa na kuja kufungwa bara bila mashtaka.

Nadhani mzee Duni angesema na maaskofu, mapadre na wachungaji waliojaa jukwaa la siasa wangekamatwa wote wakaenda kufungwa Zanzibar.

Ingekuwa "ngoma droo".
 
Hata Mimi ni mkristo lakini chuki Kwa viongozi wa Kiislamu imezidi na chuki isiyo na msingi.

Mwendazake alikuwa anashinda makanisani lakini sikuona Waislamu wakilalamika.

Mara nyingi nimefanya observation ya trend ya Viongozi Wakiwa Waislamu lazima Wakristo na hasa Wa RC Huwa wanaanza kuleta chokochoko za kuyumbisha na kuwa provoke Waislamu.

Hii tabia inanikera sana ikizingatiwa Waislamu Huwa wanatuletea nafuu ya maisha na Wana sense of utu kuliko hao wengine makatili na wasiojali.
Wewe Shoga wa Mombasa na Nairobi unahaha sana.
 
mimi mkristo lakini maaskofu ni wadini sana, ni watu wabaguzi sana. Rais akiwa muislamu watamsumbua sana hata Kikwete ilikuwa kila mara ni waraka wa kanisa. Washenzi sana, km unafikiri wanampenda mtu kuliko maslahi yao nenda kafanye kazi kwenye taasisi zao utaishia kuwa maskini yote. Mshahara utakaoanza nao ndio utamaliza nao miaka zaidi hata ya 30. Hakuna cha pensheni, wakwepaji wa kodi za serikali. Angalia maisha yao, wanaishi maisha ya anasa balaa. Ila dini hizi ni kwa maslahi ya kikundi cha wajanja kula mema ya nchi. Kitu muhimu tuisaidie serikali yeetu ndio itakayotusaidia siyo viongozi wa dini. Issue ya bandari wameikomalia kwasababu zinazojulikana, wamekuwa wakiingiza mali zao bila kulipa kodi stahiki, washenzi tu hao. Mama yetu awe imara asiwajali hao wachumia tumbo asonge mbele.
Jikite kwenye Vifungu vya mkataba acha kupiga fujo.
 
Mgombea mwenza wa uRais wa Chadema mwaka 2015 Mzee Duni Haji anesema kwa mara ya kwanza tangu azaliwe ndio ameona Kwenye mkutano wa Kisiasa pale Temeke meza kuu Wamejaa Maaskofu Mapadre na Wachungaji

Mzee Duni Haji ambaye alijiondoa Chadema na kujiunga ACT wazalendo anesema Chadema kuna Udini, Ukabila na Unafiki uliokithiri ndio Sababu kila Siku utawasikia Rais ni Mzanzibari ilhali alikuwepo Mwinyi hawakusema Rais ni Mzaramo, alikuwepo Mkapa hawakusema Rais ni Mmawia na alikuwepo Kikwete wala hawakusema Rais ni Mkwere

Yule Magufuli aliitwa Msukuma na Wasukuma wenzake kutukuza kabila lao tu, amemalizia Mzee Duni Haji

Chanzo: ACT wazalendo TV

Mungu wa Mbinguni awabariki
....anataka kutokea huku sio
 
K

Kama Kuna ka ukweli iv
 
Back
Top Bottom