Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 93,391
- 113,360
Zitto kashavuta chake mapemaMkataba wa Bandari utagawa sana umoja,naona kuna fungu kubwa sana la kutetea ambalo lipo kwa wadini wa ACT- hutoona hata ACT mmoja akikosoa mkataba wa Bandari.
Watawala nao wameona wapitie kwenye wiga wa dini kua anapibgwa kwa sababu ya hijabu yake.
Haya yalifanywa enzi za Kikwete,pale wakina Lipumba,Zitto walipoungana na CCM!!
Rais Samia angetambua kua hakuwahi kuchaguliwa na Watanzania kwa hijabu yake na wala uchaguzi ukija akagombea watu hawatoangalia dini na mavazi yake,bali utendaji wake na uzalendo wake.
Vyema angekemea haya yanayokuja ya kuingiza udini!!