johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 95,470
- 167,279
Mgombea mwenza wa uRais wa Chadema mwaka 2015 Mzee Duni Haji anesema kwa mara ya kwanza tangu azaliwe ndio ameona Kwenye mkutano wa Kisiasa pale Temeke meza kuu Wamejaa Maaskofu Mapadre na Wachungaji
Mzee Duni Haji ambaye alijiondoa Chadema na kujiunga ACT wazalendo anesema Chadema kuna Udini, Ukabila na Unafiki uliokithiri ndio Sababu kila Siku utawasikia Rais ni Mzanzibari ilhali alikuwepo Mwinyi hawakusema Rais ni Mzaramo, alikuwepo Mkapa hawakusema Rais ni Mmawia na alikuwepo Kikwete wala hawakusema Rais ni Mkwere
Yule Magufuli aliitwa Msukuma na Wasukuma wenzake kutukuza kabila lao tu, amemalizia Mzee Duni Haji
Chanzo: ACT wazalendo TV
Mungu wa Mbinguni awabariki😀